MEING'ATI
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 1,212
- 1,012
Ndio ila Azerspase iwe ya Ku no rahisi zaidiHabari za wakati huu mafundi? Naomba kuuliza kama inawezekana kupata azerspace 1 (46e) pamoja na intelsat22 (72.1e) kwa wakati mmoja na kwa kutumia dish moja. asanteni