Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Pa1 na hyo tmenufaika sana na uzi huu, mf kujua aina za recieve, madsh na mengne kibao.
 
nilitegemea kupata remarks kama hii tangu nilipoanza kufikiri kuanzisha ukurasa huu. Sidhan kama utaamin kama nikikuambia elimu hii ndogo niliyonayo nimeipata kwa njia ya mtandao. Hajawahi m2 kunifundisha kwa vitendo.Aidha nakubaliana nawe kuwa cna muda wa kutosha kuendesha mada.Niwapongeze Mavella na wenzake kwa kuongoza mijadala humu ndani.
 
hata darasani wanafundiswa wote na wanaweza kufaulu wachache, kwahiyo si wote watakaoelewa somo hili lakini wapo ambao wamefaidika kupitia somo hili. Arselona uko sahihi kwa hilo kuwa elimu yako hiyo umeipata kupitia mitandao endelea kutoa elimu kadri utakavyoweza. Hata mimi najua mengi kupitia forum mbalimbali za FTA na sijafundishwa na mtu.
 
Mkuu wengi tumenufaika na huu uzi sasa wewe kwa sababu ni fundi naona una kawivu flani hivi. JF Elimu kama hizi tunapeana bure.
 
Mkuu wengi tumenufaika na huu uzi sasa wewe kwa sababu ni fundi naona una kawivu flani hivi. JF Elimu kama hizi tunapeana bure.

mbona hakuna alipokosea.. Mi mwenyewe naona ili somo ni la wale ma malearners au mapro na sio beginners.. Vingnevyo utakuta receiver kama mediacom 930 inakuandikia sauvogudor na unabaki kuchanganyikiwa.. Kume inakwambia do u want to save???
 
jaman mbona chanel zote.nazpata lakn tbc imegoma msaada plz jaman
 
jaman mbona chanel zote.nazpata lakn tbc imegoma msaada plz jaman

kama unatumia mediacom 930plus inasumbua kidogo jaribu reciver nyingine mimi ninayo 930plus TBC siipati ila nikitumia strong au eurostar naipata.
 
na mimi ndo hvyo sijui tatzo nn

Nipo Moro. naipata TBC, ila inabidi usiwe na haraka, Inachukua kama dakika moja hivi signal ndio inaonyesha. Tofauti na channel zingine za kibongo. Mimi natumia Arisat na Mediacom recever. Star tv ndio siipati kabisa.
 
Tbc inaonyesha muda muda sana.na kama umetumia freq 3891v4445.bac jaribuni hii 3893v4444 ila nayo sio kirahisi kivile.
 
Nipo Moro. naipata TBC, ila inabidi usiwe na haraka, Inachukua kama dakika moja hivi signal ndio inaonyesha. Tofauti na channel zingine za kibongo. Mimi natumia Arisat na Mediacom recever. Star tv ndio siipati kabisa.

star tv iko.vizuri jaribu kuzungusha lnb
 
Star na Ch.10 sasa hakuna shida, imebaki hio TBC kazi ipo, na ndo ya taifa

Mie za kwa Mzee Kibaki napa K24 tu, KBC1 NA FAMILY TV zimesepa! Lakini za Kwa JK wa pili nazipata zote.
 
Na freq za family ndani ya amos 5.17east ni 12215v27500.
 
kwa wapenzi wa FTA kwa sasa satellite ya AMOS 5 at 17e pamoja na EUTELSAT 16A at 16e kama una reciver ya MPEG 4 unapata chaneli zaidi ya 100 za bure tumia dish la cm90 kwa matokeo mazuri.
 
kwa wenye nafas kifedha srt 4940 mpeg4 hd yenye card ya mytv africa na 4930 mpeg4 hd zinapatikana kwa tsh 300000 na 350000 respectively. respectively.
 
kwa wapenzi wa FTA kwa sasa satellite ya AMOS 5 at 17e pamoja na EUTELSAT 16A at 16e kama una reciver ya MPEG 4 unapata chaneli zaidi ya 100 za bure tumia dish la cm90 kwa matokeo mazuri.

ni sh ngap hlo dish la cm 90
 
Mkuu wengi tumenufaika na huu uzi sasa wewe kwa sababu ni fundi naona una kawivu flani hivi. JF Elimu kama hizi tunapeana bure.

Ni kweli mkuu, hata mimi sihitaji tena fundi wa Dish kupitia humu sasa hivi najua kiasi cha kunitosha. Watu wengine wana Roho ya kutu ndio maana hajamwaga chochote zaidi ya Kuwavunja moyo waalimu wetu na sisi wanafunzi. Angalizo sisi sio form four 2012 ndio maana hadi sasa tunawafungia hata ndugu zetu haya Madishi kupitia huu uzi hivyo Mwl usichoke.
 
acha ujinga wako wewe.elimu hutolewa kwa theory na practical.tatizo unahisi kupoteza wateja.jf ni elimu bure.kupitia uzi huu hakuna dish linalonisumbua.nimepata elimu ya kutosha.sikuiti tena kufunga dish langu.........nb:hatukati tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…