chipalila1
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 259
- 32
Pa1 na hyo tmenufaika sana na uzi huu, mf kujua aina za recieve, madsh na mengne kibao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu jamaa ameanzisha somo ambalo kamwe wanafunzi hawawezi kufaulu mtihani.,kwa vigezo vifuatavyo.
1.Kuna aina nyingi za madish na ufungaji wake,kuna mwanafunzi anaweza kushindwa hata kuunganisha dish tu.
2.Kuna aina nyingi sana za Satellate Receiver na kila receiver ina installation zake,kwamfano:MEDIA COM na aina zake ni tofauti na SAMSUNG,HAWK,STRONG,NOKIA,WIZTECH,AIRSTAR,ARISAT,MEGABOX,EUROBOX,na nyingine nyingi.
3.Kuna aina nyingi sana za LNBF na kila moja ina uelekeo tofauti na mwenzake,unavyofunga GULFSTAR ni tofauti na EUROSTAR,au DIPLOSAT.kwa ujumla kuna aina za lnbf kama 20 hivi.
4.Lazima uwe unafahamu frq na syimborate za kila chanel
Sasa huyu jamaa anaanzisha mjadara ambao hakuna atakae faulu labda kwa ambaye ni fundi hawali.Hebu fikiria yeye mpaka amekuwa fundi wa kuweza kufunga imemchukua mda gani? Hapa mimim ni fundi(installer)mpaka hivi sasa na mafundi wengineo watkubali kuwa mziki wa kufunga dish ulivyo mkubwa mpaka unaomba ushauri.Ushauri wangu afungue chuo kabisa manake ili somo linahitaji na practical sio theory tu. Ndugu utaulizwa maswali hadi utakimbia,labda kama huna shughuli nyingine wewe na JF labda ni mwanahisa.NAWAKILISHA KWA DARASA.
nilitegemea kupata remarks kama hii tangu nilipoanza kufikiri kuanzisha ukurasa huu. Sidhan kama utaamin kama nikikuambia elimu hii ndogo niliyonayo nimeipata kwa njia ya mtandao. Hajawahi m2 kunifundisha kwa vitendo.Aidha nakubaliana nawe kuwa cna muda wa kutosha kuendesha mada.Niwapongeze Mavella na wenzake kwa kuongoza mijadala humu ndani.
Huyu jamaa ameanzisha somo ambalo kamwe wanafunzi hawawezi kufaulu mtihani.,kwa vigezo vifuatavyo.
1.Kuna aina nyingi za madish na ufungaji wake,kuna mwanafunzi anaweza kushindwa hata kuunganisha dish tu.
2.Kuna aina nyingi sana za Satellate Receiver na kila receiver ina installation zake,kwamfano:MEDIA COM na aina zake ni tofauti na SAMSUNG,HAWK,STRONG,NOKIA,WIZTECH,AIRSTAR,ARISAT,MEGABOX,EUROBOX,na nyingine nyingi.
3.Kuna aina nyingi sana za LNBF na kila moja ina uelekeo tofauti na mwenzake,unavyofunga GULFSTAR ni tofauti na EUROSTAR,au DIPLOSAT.kwa ujumla kuna aina za lnbf kama 20 hivi.
4.Lazima uwe unafahamu frq na syimborate za kila chanel
Sasa huyu jamaa anaanzisha mjadara ambao hakuna atakae faulu labda kwa ambaye ni fundi hawali.Hebu fikiria yeye mpaka amekuwa fundi wa kuweza kufunga imemchukua mda gani? Hapa mimim ni fundi(installer)mpaka hivi sasa na mafundi wengineo watkubali kuwa mziki wa kufunga dish ulivyo mkubwa mpaka unaomba ushauri.Ushauri wangu afungue chuo kabisa manake ili somo linahitaji na practical sio theory tu. Ndugu utaulizwa maswali hadi utakimbia,labda kama huna shughuli nyingine wewe na JF labda ni mwanahisa.NAWAKILISHA KWA DARASA.
Mkuu wengi tumenufaika na huu uzi sasa wewe kwa sababu ni fundi naona una kawivu flani hivi. JF Elimu kama hizi tunapeana bure.
jaman mbona chanel zote.nazpata lakn tbc imegoma msaada plz jaman
na mimi ndo hvyo sijui tatzo nn
Nipo Moro. naipata TBC, ila inabidi usiwe na haraka, Inachukua kama dakika moja hivi signal ndio inaonyesha. Tofauti na channel zingine za kibongo. Mimi natumia Arisat na Mediacom recever. Star tv ndio siipati kabisa.
star tv iko.vizuri jaribu kuzungusha lnb
Star na Ch.10 sasa hakuna shida, imebaki hio TBC kazi ipo, na ndo ya taifa
Mie za kwa Mzee Kibaki napa K24 tu, KBC1 NA FAMILY TV zimesepa! Lakini za Kwa JK wa pili nazipata zote.
kwa wapenzi wa FTA kwa sasa satellite ya AMOS 5 at 17e pamoja na EUTELSAT 16A at 16e kama una reciver ya MPEG 4 unapata chaneli zaidi ya 100 za bure tumia dish la cm90 kwa matokeo mazuri.
Mkuu wengi tumenufaika na huu uzi sasa wewe kwa sababu ni fundi naona una kawivu flani hivi. JF Elimu kama hizi tunapeana bure.
huyu jamaa ameanzisha somo ambalo kamwe wanafunzi hawawezi kufaulu mtihani.,kwa vigezo vifuatavyo.
1.kuna aina nyingi za madish na ufungaji wake,kuna mwanafunzi anaweza kushindwa hata kuunganisha dish tu.
2.kuna aina nyingi sana za satellate receiver na kila receiver ina installation zake,kwamfano:media com na aina zake ni tofauti na samsung,hawk,strong,nokia,wiztech,airstar,arisat,megabox,eurobox,na nyingine nyingi.
3.kuna aina nyingi sana za lnbf na kila moja ina uelekeo tofauti na mwenzake,unavyofunga gulfstar ni tofauti na eurostar,au diplosat.kwa ujumla kuna aina za lnbf kama 20 hivi.
4.lazima uwe unafahamu frq na syimborate za kila chanel
sasa huyu jamaa anaanzisha mjadara ambao hakuna atakae faulu labda kwa ambaye ni fundi hawali.hebu fikiria yeye mpaka amekuwa fundi wa kuweza kufunga imemchukua mda gani? Hapa mimim ni fundi(installer)mpaka hivi sasa na mafundi wengineo watkubali kuwa mziki wa kufunga dish ulivyo mkubwa mpaka unaomba ushauri.ushauri wangu afungue chuo kabisa manake ili somo linahitaji na practical sio theory tu. Ndugu utaulizwa maswali hadi utakimbia,labda kama huna shughuli nyingine wewe na jf labda ni mwanahisa.nawakilisha kwa darasa.