Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

kwa wenye nafas kifedha srt 4940 mpeg4 hd yenye card ya mytv africa na 4930 mpeg4 hd zinapatikana kwa tsh 300000 na 350000 respectively. respectively.

Yeah,nimenunua str 4930 MPEG4 HD kwa Levi,ni toleo la Feb 2012,tatizo ni kwamba je ni Genuine? Hata hvy inafanya kazi vizuri,swali langu je mytv card itakubali humu bila ku update?
 
hey guyz mambo vip nilikuwa nataka hv chanel za badr1/2/3/4 26E naweza kuzipata kwa risiva ya arisat ar600
 
so bro mimi hapo ndio ninapopataka sasa hapo kwenye biss key je risiva ya arisata ar600 inaweza ikafungua biss chanel
 
Yeah,nimenunua str 4930 MPEG4 HD kwa Levi,ni toleo la Feb 2012,tatizo ni kwamba je ni Genuine? Hata hvy inafanya kazi vizuri,swali langu je mytv card itakubali humu bila ku update?

weka ungo mwelekeo wa mytv na uweke kadi uone. Unaweza kuni2mia sn na cn nikuchekie kama ni original
 
local channel zinaweza kupatikana kuptia hili dish? na vp kama nikifunga receiver ya media com au gulf stAr ntaweza ona chochote

hapo hutapata local tv.aidha unahitaji at least an mpeg4 ricva kufurahia ulimwengu wa fta sat tvs
 
so bro mimi hapo ndio ninapopataka sasa hapo kwenye biss key je risiva ya arisata ar600 inaweza ikafungua biss chanel

cna uhakika kama ar600 ina key edit. Tembelea hapa kupata keys donglesat.com/biss.htm
 
arselona hv nnaweza kupata chanel za satelite ya astra 1/2/3/4/ 28.5E kupitia arisat ar600

tembelea flysat.com/astra28-beam.php utaona kuwa haiwezekana ingawa inaoneka tanzania 2nawekapata kwa west african beam ambayo kwa sasa haina active transponders
 
jamani nataka kununua abudhabi ila nasikia zile channeli za muvi mbc hd azipo sikuizi kwasabu gan wadau?zimepotea
 
"Dongle G1 GPRS". Hii kitu ni Plug and Play!??? Haihitaji choChote kingine kama software ukishanunua!? Hapa Bongo zinapatikana kwa Bei Gani!????

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
<br />
<br />
bro umepotea, hapa c mahal pa matangazo.kwa kwel unaniboa sana.
 
Naomba msaada wapi nitapata diseqc za njia nane (8 port Diseqc Switch).Kuna ambazo nilizipata Kariakoo ila baadae ziliisha pale dukani.
 
Naomba msaada wapi nitapata diseqc za njia nane (8 port Diseqc Switch).Kuna ambazo nilizipata Kariakoo ila baadae ziliisha pale dukani.

Kwa nini usitafute motor kuliko zigo lote la Diseqc ya njia nane!...then kwa kupata hiyo umekusudia kupata satelite ngapi?
 
Kwa nini usitafute motor kuliko zigo lote la Diseqc ya njia nane!...then kwa kupata hiyo umekusudia kupata satelite ngapi?

Motor inafaa kama unashika channel za C Band peke yake.Kwa sasa nashika satellite sita zifuatazo Intelsat 906,Intelsat 20 C na KU,NSS 12,Amos5,Eutelsat 16A,na Eutelsat 7A.
 
pima kutoka juu kwenda chin (heigh diameter) ikupe 90cm
Hapa zipo satellite 2,na tofauti ya longitude degree ni 1 tu, je naweza kupata zote kwa lnb moja? Au nitakuwa sipat signal bora?
 
Hapa zipo satellite 2,na tofauti ya longitude degree ni 1 tu, je naweza kupata zote kwa lnb moja? Au nitakuwa sipat signal bora?

hapo unapomaanisha ni wapi? Pataje. Na satellite zipi? Zitaje.
 
Motor inafaa kama unashika channel za C Band peke yake.Kwa sasa nashika satellite sita zifuatazo Intelsat 906,Intelsat 20 C na KU,NSS 12,Amos5,Eutelsat 16A,na Eutelsat 7A.

Kuna post humu niliweka na picha sikumbuki namba ngapi zipo lnd za C Band na KU Banda...nyway kubwa kama umeweza kupata satelite unazo zihitaji Big up Bro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…