[FONT=Arial, Helvetica, san-serif]Wadau nina HUMAX 2020. Nimefungiwa na fundi mmoja na inapata AD Sports zote safi. Fundi huyu hayupo tayari kuniwezesha kupata card ya Aljazeera Sport na vile vile kunijuza ni vipi naweza kurenew ad sports subscription. Tafadhali nisaidie.[/FONT]
Hivi Receiver za Strong SRT 4922 zinapatikana wapi kwa maeneo ya Dar?
Hivi Receiver za Strong SRT 4922 zinapatikana wapi kwa maeneo ya Dar?
Dar yote genuine strong zinapatika kwa mposo na ni kwa model 4930 na 4940 tu. Ukivuta subiri baada ya wiki mbili nitakuwa nazo 10pcs genuine copied of 4922A ambazo nitakuwa nimesha weka patch software kuhakikisha mteja wangu anaona kile anataka. Bei itakuwa ya kiJF zaidi(namaanisha). Kwa srt4922A tunaweza kuona utajiri tulionao kwenye ulimwengu wa FTA. Idumu JF na FTA.
Kwa Dar nitakupataje vipi bei ya zile SRT4930 ikoje.
kaka uliinunua wapi hiyo ki2? Fuata link hii jsc-cards.comorder/ utaona sehemu ya kurenew AD Sport card. Aidha nakushauri uctafute card ya aljazeera kwa kuanzia mwakan huenda wakawa na decoda zao ambazo zitakuwa na kadi zake.
natafuta hizi patch za strong zinapatikana wapi?
Jaminimeona madish ya zuku yana
badilishwa muelekeo kwenda ule
mwelekeo kama wa dstv kwasababu gani?
kwaanae jua naomba anipe tetesi
wameongeza wigo sasa zuku inapatika subsahara tofauti na mwanzo ilikuwa inaishia hapa istiafrika pekee .kuna chanel za hd wameongeza pia