Arselona
JF-Expert Member
- Jan 13, 2011
- 643
- 153
- Thread starter
- #301
Mtaalam Arselona nimekupata. next week takutafuta Moro. Thanx. Pia naomba kuuliza jinsi ya kupata Ten Sports.
@subbi kwa kweli sijui jinsi mtu anaweza kupata Ten sports package ingawa nilishawahi kuona kwenye website flani ambako walikuwa wanauza cccam accounts za ten sports. sina uhakika kama kadi zao zimeolewa na dekoda maalum ila nitafanya utafiti kuona lipi ni jibu sahihi.




