Mtaalam Arselona nimekupata. next week takutafuta Moro. Thanx. Pia naomba kuuliza jinsi ya kupata Ten Sports.
mii naomba munieleze ni dish la aina gani na recever aina gani au ni vifaa gani niwe navyo ambavyo ninaweza kutumia kwa kutumia aljazeera sport card nawaomba wadau mnieleze kwa ufasaha
View attachment 93056
sawa mkuu na katika kusoma kwenye internet kuna melezo wametoa haya kwa kutumia hiyo card ya aljazeera lazima uwe na vitu kama hivi kimoja kati ya hiviNi Humax HD Ambazo ni za Abudhabi Sports na Aljazeera sports ambayo huwa inaingizwa kadi mbili. Dish ni la ft8 liwe la bati. Kwa ushauri zaidi tuma PM nikupe mawasiliano tusaidiane.
sawa mkuu na katika kusoma kwenye internet kuna melezo wametoa haya kwa kutumia hiyo card ya aljazeera lazima uwe na vitu kama hivi kimoja kati ya hivi
[TABLE="width: 80%, align: center"]
[TR="bgcolor: #e1e1e1"]
[TD="width: 50%, bgcolor: #eeeeee"]Hot Bird 13° E, Nilesat 7°W, Arabsat 30,5°E
hebu angalia hizo item hapo ni sawa
* View attachment 93124 View attachment 93125 View attachment 93126na kadi ninayotaka kutumia ndio hii
View attachment 93127[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ahsante mkuu kwa iyo dish ft8 card ya aljazeera itafanya kazi poa kabisa na ninapo nunua dish hua unauziwa na satalite yake au dish mbali lnb mbali na recever mbali naomba maelezo zaidi na hizo zote zinaharimu kiasi gani kwa tsh.Siwezi nkaongea chochote kwa hizo item ulizoziweka kwa kuwa sijawahi kuzitumia kukamatia hiyo na labda nchi nyingine mimi kwenye ft8 la bati tu sikuipata kirahisi then kukiwa na mawingu mazito inaleta kwikwi kama cd mbovu.
Hello mtaalam Arselona. Naomba kuuliza kuwa channels gani zinazoonesha soccer na ktk satellite gani naweza kuzipata kwa kutumia hiyo strong srt 4922 kwa hapa dar es salaam? plz
ahsante mkuu kwa iyo dish ft8 card ya aljazeera itafanya kazi poa kabisa na ninapo nunua dish hua unauziwa na satalite yake au dish mbali lnb mbali na recever mbali naomba maelezo zaidi na hizo zote zinaharimu kiasi gani kwa tsh.
poa mkuukaka wewe bila shaka uko dar. kwa dar kuna kuna watu kibao wamepata nilesat 201,7wa kwa kutumia nyungo za ku-band 135cm. sioni 7bu ya kuwa na wasiwasi na hili. Aidha kuna rcva nyingi tu ambazo zinaweza kusoma cards za aljazeera kwa uchache ni rcva za strong, astrovox,wiztech, humax, openbox, skybox n.k.
habar zenu wakuu! naomben msaada wenu kwa hil. natumia recva ya mediacom 910 plus,nmeweka lnb ku nmepata chanel hiz miracle,madan hosana muvi tv africa na zingne nying ila nashindwa kupata nolywood emanuel ctl ambazo zpo kwenye hz freq 12722,26657V/H na 12602,26657V/H ambayo ina hzo za nolywood tatzo n nn?
asante sana
ila lnb imebebwa na c band ya aljazeera kwa maana hyo ctafanikiwa kuzpata au kuna njia nyingne? naomba msaada
Basi anza tena kuiset,na utapata za upande mmoja,hivyo unapaswa kuchagua,vertical frq mbili yaane 12722 na 12602,na ukijitahd unaweza pia kupata 12522H. Aidha zungusha dish au nyanyua au shusha kidogo. Vyote utakavyofanya unaweza kulenga bila tabu.
ukiunganisha Lnb mbili yaani C band na Ku band kwenye degree moja signal lazima zipungue kwa maana hiyo utachagua unazozipenda zaidi.
Dish langu ni la futi 6, LNBF ni C-Band, Receiver ni media Com MFT 910+New. Nilifanikiwa ku-install local channels ITV(na ndugu zake), Star TV,TBC1. Tatizo radio zake sizipati? Pili, nimenunua LNB ya pili C-Band, naomba kanuni za kuifunga na frequency zilizo upande mmoja na aljazeera. Tatu, ninashindwa kupata channel ten. Ahsante.
Mkuu, na mimi nahitaji hiyo satelite dish ambayo ni free to air, bila malipo ya mmonthly. Nitapata wapi, na bei gani kwa ambayo nitawedha ona channel dhote dha bongo!!!