SIM
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 1,795
- 1,304
Hizo channel unazopata ziko eutelsat 36°e na sio 7 °w .
Asante kaka maana mi c mtaalam wa mambo ya sat
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo channel unazopata ziko eutelsat 36°e na sio 7 °w .
ah ah it seems ur really in love with your SPIRITHunting fta tv is a spirit. U need to acquire that spirit thru learning step by step on fundamentals of sat installation. B4 hand u need to get familiar with ur stb box {receiver/decoder} i mean u shud be friendy with ur stb box manual handbook. However u also need to start nabbing simple sats like eutelsat36A/36B, intelsat 906 and intelsat 10 where most sat dishes are positioned.
Asante kaka Arselona ni Arisat Ar600 mpeg4 hd kuna fundi kanifungia na dish la ft3 kwenye Eutelsat W4/7W dish limegeukia magharibu napata chanel za fta 13 tu, itv, tbc, star tv, ebru, setanta, nk ila bado nina dish la ft6 cjalifunga, msaada wako kaka.
bab arselona kwanza nakupa manyota 3 ya p p p yaani pure Professional Player wee ni mkali na asie kukubali ni mnafiki
hebu angalia hizi vitu nataka kuvinunua kwa kutumia card ya aljazeera je kwa hapo itakua nimekamilisha kila kitu View attachment 99262View attachment 99263View attachment 99264View attachment 99265
ok ahsante ila kwa hivi sasa hivi hapo vitaweza kufanya kazi poandiyo ila nakushauri uvute subira kidogo ili tupata ufumbuzi kama aljazeera itapata haki ya kuonyesha epl kwa miaka mitatu ijayo. Akifanikiwa haijulikan bado kama ataonyesha kupitia sat gan.
inaonekana kama vle nimelitelekeza darasa. Kwa kweli ckuwa na muda wa kutosha kufanya maandalio ya masomo kutokana na kutingwa na shughuli mbalimbali pale MU. Naahidi nikimaliza mitihani nitakuja na mada ya kuweka ungo bila jasho. Muwe tayari. Ila mniahidi kwa na ninyi mkipata elimu hii muwape pia wengine wenye kuihitaji bure au muwaambie ni wapi mliipata.
kama ningekuwa na uhakika kuwa inaweza edit biss keys na kama ww ni mpenzi wa boli ningekushauri uliset kwa arabsat 5c. Aidha unaweza weka nilesat201/7WA @7degr west.
Kaka boli ndo ugonjwa wangu Nimeweka sat ya Nilesta 201/7WA @7 E. Napata chanel karibu 300, asante sana idumu JF.
chanel 300 zinaonyesha ligi gani mkuuKaka boli ndo ugonjwa wangu Nimeweka sat ya Nilesta 201/7WA @7 E. Napata chanel karibu 300, asante sana idumu JF.
chanel 300 zinaonyesha ligi gani mkuu
nafikiri hujanielewa nakuuliza katika hizo chanel 300 alau kuna ligi yeyote ya europ inapatikana manaake umesema kua boli ndo ugonjwa wako nafikiri itakua hapo umenielewaWapi niliposema chanel 300 zinaonesha ligi?
hajasema 7 degree west, kasema eutelsat W4/W7 ambayo ndio hiyo 36 degree east.wote mmeongelea kitu kimoja.Hizo channel unazopata ziko eutelsat 36°e na sio 7 °w .
wadau nina receiver ya media com
kuna mwanangu kaweka passord na
sijui ni ipi kwa hyo nashindwa
kutumia remote naombeni msaada
wenu nini nifanye kutatua tatizo h
Furaha yangu ni kuona uwepo wangu duniani unawapa wengine furaha wanayostahili. vanpersie, mi ntamaliza mitihani yangu Ijumaa ya wiki ijayo.