Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Hapo kama atakua na risiva ya mpeg4 atapata star tv, itv, tbc, chanel 10, setanta, ebru, color, silv brd, nk
 
kama ningekuwa na uhakika kuwa inaweza edit biss keys na kama ww ni mpenzi wa boli ningekushauri uliset kwa arabsat 5c. Aidha unaweza weka nilesat201/7WA @7degr west.

mkuu naomba unipe somo la ku edit bissy keys kwa kuwa nima receiver yenye hayo mambo lakini sijui namnna gani ya kuingiza hizo keys. channels kama hbo zipo lakini ndo hivyo kuziona hadi kuedit bissy keys
 
Habari wandugu.. langu moja tu, ninahitaji kupata trenet lakini ujuzi wa settings za dish na mengineyo sina kwa kweli!

Mtaalamu yeyote karibu? Nyumbani ni tabata bima.
 
nikiwa na dish lang la futi sita nikanunua na receiver ya mpeg4 naweza kuwa nimemalza tatzo la tbc,chanel ten na star tv pia nawwza kupata zile za movie na music??
 
Habari wandugu.. langu moja tu, ninahitaji kupata trenet lakini ujuzi wa settings za dish na mengineyo sina kwa kweli!

Mtaalamu yeyote karibu? Nyumbani ni tabata bima.

Kw sasa nipo Moro tukikubaliana naweza kuja kukukomeshea na nnasiku kama nne tu hapa Moro ni pm tuwasiliane kama vipi.
 
nikiwa na dish lang la futi sita nikanunua na receiver ya mpeg4 naweza kuwa nimemalza tatzo la tbc,chanel ten na star tv pia nawwza kupata zile za movie na music??

Yaaa tutaunganisha degree36 utapata channel kama kumi ikiwepo Atn.
 
maelezo yako hayatoshi tupe brand na model yake na ikibidi version ya software yake
 
Ndo maana yake unatumia Diseq switch kuunganisha zote isitoshe hata hapo zipo local channels.

yap nielekeze vzr maana sina vipimo, niweke wapi hyo lnb nipe kwa sentimenta ngapi kutoka ile plate ilozishika hzo C na KU, ni chini au juu na ndani nita searchia Satelite gani?

NAHISI TAFANIKIWA HAPA NDUGU
 
Wadau nani ameweza kupata satellite ya YAHSAT 1A @52.7 degrees EAST
 
yap nielekeze vzr maana sina vipimo, niweke wapi hyo lnb nipe kwa sentimenta ngapi kutoka ile plate ilozishika hzo C na KU, ni chini au juu na ndani nita searchia Satelite gani?

NAHISI TAFANIKIWA HAPA NDUGU

Nashindwa ku-upload picha kwa kuwa natumia simu labda ungenipa account yako ya Fb nikuoneshe picha.
 
Mgjd shita yako nini katika yahsat 1A. unataka tu kujua nani ameaipata au kuna lingine?
 
Last edited by a moderator:
Mgjd shita yako nini katika yahsat 1A. unataka tu kujua nani ameaipata au kuna lingine?

Kuna HD channels na Dubai Sports na nyinginezo za sports. Pia kuuliza kwangu nilitaka pia kujua kama kuna yeyote anainasa ni kwa signal kiasi gani,dish size,na lnb type. Na pia ni beam ipi rahisi kupatikana,EAST ama WEST.
 
Last edited by a moderator:
GULF BOX wadau nimehangaika kutafuta
remote ya hiyo receiver nimekosa
nimebonyeza pale kwenye zile
botton zake nikafanya auto scan
nimepata channel lakini eatv na itv
hazna sauti nimejarb kuchange
waya za jumaa left iwe right lakini
nimeshindwa inamana kama
ningekuwa na remote ninge
bonyeza audio then ninge select left
or right sasa kuna ujanja wowote
naweza fanya itv na eatv zikawa na
sauti maana remote sina
nawasilisha wadau naombeni
msaada
 
Possible tu mbona.
 
Mgjd shita yako nini katika yahsat 1A. unataka tu kujua nani ameaipata au kuna lingine?

Kaka amani iwe juu yako, hivi hizi rcva za mediacom zinaweza kuedit biss key? Maana naona zina biss, erdeto, conax nk na je kama zinaweza unaweza nipa somo namna yakuweka hizo key? Asante.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…