Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

msaada lnbf ku 68.5 nyuz swali ni chanel gani? nitazipata niki2mia mpeg4 au dongle sehemu hii ninapopat picha za kisouth

ukitumia dongle utapata mytv channels,tofauti na zile za dini hizi ni paytvs, iwapo utatumia mpg4 ya kawaida utaendelea kupata channels unazozipata sasa,vinginevyo ufunge na lnb ya c band utaongeza channel kibao za india kwa mpg4 including aljazeera english news
 
Arselona nimefunga dish ft8 lakini sijapata badr6,niliambulia bdr5 sasa tatizo ni lnb yangu au kuna kitu sijakipatia? tafadhali nijulishe.
 
umejuaje kuwa uliyoipata ni badr5. Kama uliipata badr5 ilikuwa lazima upate pia badr6. Ungo wako uliuelekeza wapi? 2ambie unapatikana wapi.
 
umejuaje kuwa uliyoipata ni badr5. Kama uliipata badr5 ilikuwa lazima upate pia badr6. Ungo wako uliuelekeza wapi? 2ambie unapatikana wapi.

Niliifahamu ni badr5 baada ya kuangalia channel nilizopata kwenye internet,ungo nilitega kwenye 26.0E hizo nyuzi zilipo satellite hua nazifahamu vizuri sana,nipo Shelui mka wa Singida.
 
hello wadau
naomba kujua ni satellite gani inayoweza patikana dar es salaam kwa dish la c band 6ft na receiver ya mpeg4 ambayo ina channels nzuri kwa ajili ya watoto e.g cartoons. plz
 
Niliifahamu ni badr5 baada ya kuangalia channel nilizopata kwenye internet,ungo nilitega kwenye 26.0E hizo nyuzi zilipo satellite hua nazifahamu vizuri sana,nipo Shelui mka wa Singida.

kinachonishangaza ni kwa nn hujapata badr6 wakati hiyo ina beam kubwa zaidi ya badr5. Anyway nikupe hongera zako na jaribu kuchezesha lnb yako huenda ukapata badr6. Naomba u2wekee tp ulizopata signals. FTA na idumu.
 
Niliifahamu ni badr5 baada ya kuangalia channel nilizopata kwenye internet,ungo nilitega kwenye 26.0E hizo nyuzi zilipo satellite hua nazifahamu vizuri sana,nipo Shelui mka wa Singida.

Maark ukiwa shelui ungo wako wa ft8 unatakiwa uelekee magharibi. Fungua link hii utaona jinsi ungo unavyotakiwa kuwa. www.satlex.de/en/azel_calc-params.html?satlo=26.0&user_satlo=&user_satlo_dir=E&location=&la=-4.3547853&lo=34.2004683&country_code=tz&diam_w=240&diam_h=240
 
Last edited by a moderator:
hello Arselona. Naomba unisaidie jinsi ya kupata Amos 5 @17e kwa dish la 90cm. Mchakato wa kuzipata JSC HD channels unaendeleaje?
 
hello Arselona. Naomba unisaidie jinsi ya kupata Amos 5 @17e kwa dish la 90cm. Mchakato wa kuzipata JSC HD channels unaendeleaje?

tafuta kwanza ses5(zuku ilipo). Ukishapata weka tp ya ku-band ya amos5. Halafu ukisimama nyuma ya ungo zungusha ungo wako kuelekea kulia kwako kidogo sana( 3cm). Kutoka hapo ukiwa bado nyuma ya ungo wako umuvuzishe kidogo ili uinuke huku unaangalia tv yako. Utaipata tu.
 
mi natumia zuku tv na ungo wa euro ster futi 6 ila mi sieliwi chochote jinsi ya kupata free chanels mi ni adicted kwa mpira wa miguu msaada jinsi ya kufanya.
 
mi natumia zuku tv na ungo wa euro ster futi 6 ila mi sieliwi chochote jinsi ya kupata free chanels mi ni adicted kwa mpira wa miguu msaada jinsi ya kufanya.

nunua rcva ya mpeg4 hd inayoweza kupatch
 
Kwa maana hiyo hii niliyonayo hakuna kitu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…