Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

naomba kuelekezwa jinsi ya kuingiza biss keys katika receiver
 
naomba kuelekezwa jinsi ya kuingiza biss keys katika receiver

kila rcva ina jinsi yake. Itaje ya kwako unayotaka kui2mia. Kama ni g6 ni rahc kwa haijajificha we fuata maelekezo tu kwenye monitor na rcu yako
 
na2mia mediacom 910+new,dish futi 6,kwenye c-band napata itv capita eatv,ch10,star tbc kwa tabu,mozambique zote3 na iman radio,..nimefunga ku-band juu ya c band ila cjaambulia chanel yoyote naomben msaada,inafungwaje
 
hiyo lnb ya ku umeifungia wapi? Ni nzuri pia ukasema mahali ulipo
 
Jamani bado kuna mkanganyiko mkubwa sana wa lugha za kisatelaiti kiac cha kuwachanganya wackilizaji. Utamsikia m2 anasema nimesearch hotbird na nimepata chanels za local au nimesearch nilesat101 nimepata chanel za canalsat. Lugha kama hizi zinawafanya wa2 wackuelewe. Hebu tujiulize ni tangu lini beam ya hotbird au nilesat101 inapatikana tanzania? Hata kama zinapatika tanzania, tangu lini chanel za bongo zimehamia hotbird au za canalsat zimehamia nilesat101? Hivi mnajua kuwa zile list za sats kwenye rcva zenu mnaweza kuzibadili majina myatakayo? Kwenye rcva yangu sat zote nimezipa majina ya wachezaji wa arsenal na barcelona(Arselona). Ni sahihi kumwambia m2 kuwa mimi kwenye sati ya Sagna nimescan na nimepata chanels za dstv? Sat inatambulika kwa pahali ilipo(position) na co kwa maandishi ndani ya rcva. Chanels za böngo zinapatika kwenye sats intelsat 906 na eutelsat36A, canalsat zipo Ses4, zuku zipo Ses5 Abudhabi zipo nilesat 201 n.k na c vinginevyo.
 
kila rcva ina jinsi yake. Itaje ya kwako unayotaka kui2mia. Kama ni g6 ni rahc kwa haijajificha we fuata maelekezo tu kwenye monitor na rcu yako

ndio natumia G6 MKUU sasa namba zake nitazipataje
 
Naitaji kkupata Yahsat 1A at 52.5°E ninunue dish la aina gani, receicer nayo yaa aina gani na yenye ku surpot 3g na hdm cable, na pia lnb yake, location ni moshi msaada wenu tafadhali
 
Naitaji kkupata Yahsat 1A at 52.5°E ninunue dish la aina gani, receicer nayo yaa aina gani na yenye ku surpot 3g na hdm cable, na pia lnb yake, location ni moshi msaada wenu tafadhali

Bila shaka hata ft6 prime focus dish litafaa. Unahitaji rcva yoyote ya mpeg4 hd ambayo inasupoti biss key editing. Kuhusu 3g haihitajiki. Rcva ipi ununue inategemea sana na bajeti yako. Jaribu strong srt 4922A, inasapoti 3g modem, lan, cccam, newcamd, biss, iptv, ubora wa picha/sauti, advanced modulation, online customer support, etc.
 
msaada kuhusu frequency za UJALA, DUNYA NEWS NA DUNYA ENTERTATIMENT maana nimezimisi sana sizipati na za TBC1 haipatikani kabisa, broo_ARSELONA big up kwa ufafanuzi unaotoa.
 
Nimekupata mkuu na ningependa kujua kama iyo location yangu itafaa kupata Yahsat 1A na kama vp nina dish la zuku linaeza faaa?
 
hapa cc vumbi tu, ukifuatilia nyayo tunatembea na fagio au co cds? Hapa ni sayansi na tekno tu, ni mbinu za kuwinda tu na c kuiba. Amini amini nawaambie uzi huu na ule wa mkubwa kungu1 hazita pitwa na wakati mpaka kufungwa kwa JF(sitaki itokee JF ipotee kama RDI mpendwa we2). Arselona akipotea leo Mavella Dima.com Kibukila tusichoke na wengine kibao wanasongesha. FTA na idumu. Bwan cds chaneli ulizozitaja zipo kwenye intelsat 20 cband beam. Cna uhakika sana kama zote bado ziko fta. Tembelea flysat.com> sat list>intelsat20 na utapata list ya chnls na tps/srs
 
Last edited by a moderator:

unahitaji ungo kuanzia ft6 na ku lnb yenye gain kubwa(fuji stargold)
 
hahahaha thanks, pamoja sana huu uzi na udumu milele
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…