Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina dish ya fut sita lnb ya ku fuji ya high gain na receirer ya astrovox hd nimejitahd sana kuitafuta nilesat imegoma kabisa ila ile eutelsat 7 yenye zimbo tv na mbc1 nimeipata,shida yangu niipate nilesat kwaaajil ya action movies na akina fox movies
Mambo vip wadau?naomba kujuzwa jins ya kuset ku ambayo inakaa juu ya c band je ni lazma kichwa cha c band kitobolewe ili ku ipate kukaa au inakuwaje?tafadhal wadau naomba mnijuze juu ya hili
mimi swali langu lipo hapa
kwa mfano umeipata e.tv kwenye 68°E then labda zee cinema ipo 58°w hapo
ntafanyeje? Mana nikizungusha kuelekea 58°w si ndo itakuwa nimeipoteza
e.tv iliyopo 68°E?? msada tafadhari
mimi swali langu lipo hapa kwa mfano umeipata e.tv kwenye 68°E then labda zee cinema ipo 58°w hapo ntafanyeje? Mana nikizungusha kuelekea 58°w si ndo itakuwa nimeipoteza e.tv iliyopo 68°E?? msada tafadhari
Nilikuwa cfaham wadau je vip kuhusu citzentv nitaendelea kuipata au la kwa mana naipata ila cjabebanisha ku na c band nimeweka ku pekee kwhyo nina mpango wa kuzbebansha nahofia kuipoteza ctzentv kwan naipenda mno iko poa kinoma
Wadau katka pitapita zangu kitaa nikakuta dish limefungwa ila nikashangaa kwamana pale inapokaa c band ya local channels za tz kumewekwa ku band sasa wadau kwa anayefaham atujuze jamaa anapata chanels gani pale kwa bahat mbaya aliefunga pale hakwepo kwahyo nikakosa wa kumuuliza.
Mkuu nilesat mfano
ninayotumia mm ni 201 sijajua we km unataka 201 au 101 km zinavyoonekana
kwenye mtandao. Hapo ulipopata zimbo na mbc1 (morishaz) unarudi kushoto
kidogo uelekeo wa magharibi huku ukiiinamisha dishi taratibu unaweza
kuzipata , nazungumzia zilizopo nilesat 201. Maeneo hayo kuna Chanel za
dini juu kidogo zinashare freq. na dubai one , ukipata hizo unashuka
chini (Pia inategemea upo wapi,signal zake hazifiki nchi nzima)
Unapata kwa dish size gani, kwa Dar?