Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Nina dish ya fut sita lnb ya ku fuji ya high gain na receirer ya astrovox hd nimejitahd sana kuitafuta nilesat imegoma kabisa ila ile eutelsat 7 yenye zimbo tv na mbc1 nimeipata,shida yangu niipate nilesat kwaaajil ya action movies na akina fox movies

Mkuu nilesat mfano ninayotumia mm ni 201 sijajua we km unataka 201 au 101 km zinavyoonekana kwenye mtandao. Hapo ulipopata zimbo na mbc1 (morishaz) unarudi kushoto kidogo uelekeo wa magharibi huku ukiiinamisha dishi taratibu unaweza kuzipata , nazungumzia zilizopo nilesat 201. Maeneo hayo kuna Chanel za dini juu kidogo zinashare freq. na dubai one , ukipata hizo unashuka chini (Pia inategemea upo wapi,signal zake hazifiki nchi nzima)
 
Wadau naoba mnisaidie frequency ambazo kiurahisi channel za Kenya na sat husika nimejalibu kwamda bila mafanikio al jezira cctv na nyingine moja na kwenye KU iliyopo juu ya ile ya al jezira zinashika zadin zaid.Natumia dish ft 6 na rcver ya Mediacom nipo Biharamulo Kagera.
 
Hata mm ninashida kama yako kwan chnel za kenya napata 1tu ambayo ni citzentv ila ku yangu haijabebwa na cband
 
Mambo vip wadau?naomba kujuzwa jins ya kuset ku ambayo inakaa juu ya c band je ni lazma kichwa cha c band kitobolewe ili ku ipate kukaa au inakuwaje?tafadhal wadau naomba mnijuze juu ya hili
 
Mambo vip wadau?naomba kujuzwa jins ya kuset ku ambayo inakaa juu ya c band je ni lazma kichwa cha c band kitobolewe ili ku ipate kukaa au inakuwaje?tafadhal wadau naomba mnijuze juu ya hili

jibu unalo bwana mkubwa.la hutaki kuitoboa kanunue ya two in one (ku-cband lnb)
 
Nilikuwa cfaham wadau je vip kuhusu citzentv nitaendelea kuipata au la kwa mana naipata ila cjabebanisha ku na c band nimeweka ku pekee kwhyo nina mpango wa kuzbebansha nahofia kuipoteza ctzentv kwan naipenda mno iko poa kinoma
 
mimi swali langu lipo hapa kwa mfano umeipata e.tv kwenye 68°E then labda zee cinema ipo 58°w hapo ntafanyeje? Mana nikizungusha kuelekea 58°w si ndo itakuwa nimeipoteza e.tv iliyopo 68°E?? msada tafadhari
 
mimi swali langu lipo hapa
kwa mfano umeipata e.tv kwenye 68°E then labda zee cinema ipo 58°w hapo
ntafanyeje? Mana nikizungusha kuelekea 58°w si ndo itakuwa nimeipoteza
e.tv iliyopo 68°E?? msada tafadhari

vipi hyo e.tv unaipata ikiwa free?
 
mimi swali langu lipo hapa kwa mfano umeipata e.tv kwenye 68°E then labda zee cinema ipo 58°w hapo ntafanyeje? Mana nikizungusha kuelekea 58°w si ndo itakuwa nimeipoteza e.tv iliyopo 68°E?? msada tafadhari

suluhisho lako ni kuwa na nyungo mbili
 
Nilikuwa cfaham wadau je vip kuhusu citzentv nitaendelea kuipata au la kwa mana naipata ila cjabebanisha ku na c band nimeweka ku pekee kwhyo nina mpango wa kuzbebansha nahofia kuipoteza ctzentv kwan naipenda mno iko poa kinoma

unatakiwa kufanya maamuzi kulingana na vile unapenda kwani kuna uwezekana wa kukosa baadhi ya tp. Kama unaona huwezi kuimic citizen basi iashe ku band lnb pale ilipo au kanunue lnb iliyokwisha bebanishwa tayari
 
Thanks bro kwa ushauri wako haina noma tupo pamoja sana tuendelee kuelimishana juu ya haya mambo
 
Wadau niajeniaje? Hivi hakuna ujanjaujanja wowote ambao utakuwezesha kupata chanels za kenya for free kwakutumia mpg2 riciva au hiz riciva ndo haziwez kabisa,au hawa jamaa hawana fta chanels.
 
Wadau katka pitapita zangu kitaa nikakuta dish limefungwa ila nikashangaa kwamana pale inapokaa c band ya local channels za tz kumewekwa ku band sasa wadau kwa anayefaham atujuze jamaa anapata chanels gani pale kwa bahat mbaya aliefunga pale hakwepo kwahyo nikakosa wa kumuuliza.
 
kama ukiitoa lnb ya cband(ambayo 2napata local chnls) na kuweka ya ku band huwezi pata chnl yoyote. Hivyo unaposema pale inapokaa cband lnb ya local chnls kaweka ku lnb binafsi ninapata shida kukuelewa. Hata hivyo unaweza pata sats kama yahsat na is20(zote ni ku beams)
 
Mkuu nilesat mfano
ninayotumia mm ni 201 sijajua we km unataka 201 au 101 km zinavyoonekana
kwenye mtandao. Hapo ulipopata zimbo na mbc1 (morishaz) unarudi kushoto
kidogo uelekeo wa magharibi huku ukiiinamisha dishi taratibu unaweza
kuzipata , nazungumzia zilizopo nilesat 201. Maeneo hayo kuna Chanel za
dini juu kidogo zinashare freq. na dubai one , ukipata hizo unashuka
chini (Pia inategemea upo wapi,signal zake hazifiki nchi nzima)

Unapata kwa dish size gani, kwa Dar?
 
mimi nimepata MUTV,na SANTANTA AFRICA but zote ziko scramble vipi nifanyeje ili nitoe haya mautundu?
 
Back
Top Bottom