juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,924
- 5,406
man utd vs c-palace live now on irib verzesh
unaweza pata tu chnls ila inaweza haribika kama itaingiza maji au k ikipata unyevu. Unaweza ifunga kwa ku2mia nylon nyeupe. Kuhusu setting bado hujasema kama unataka ya namna gani setting ya cband au ya ku-band. Hata hivyo binafsi cna urafiki na rcva za gulf.
wadau aliye wahi kutafuta thaicom sat hivi waya unageukia wapi na kile kidude cha ndani ya c band unaweka au hauweki nataka nipate press tv msaada tafadhari
niambie unataka ipi kati ya hizo. Strong srt4922 na 4950H. Asikudanganye m2 hizi ni zaidi ya rcva. Nikipata nafac nitaandaka kwa nn napenda rcva za strong kuliko nyingine kama wiztech, astrovox azsky g6( na ndugu zake)
bro sh ngap unauza strong srt4922 je inaweza kuhack dstv na jsc channel
KKaka juan david swali hali ni gumu kidogo kupata majibu kwani kufungua tvs za kulipia bila malipo ni kosa la jinai. hakuna tafauti na kuiba, ni sawa tu na kucopy kazi wasanii bila ridhaa yao hata kama umeikuta kwenye social networks. Kwa maneno mengine binafsi sitaki kushiriki kwa namno yoyote katika suala hilo. Toka mwanzo kabisa uzi huu umewekwa mahususi kwa ajili ya FTA. Kwa hiyo nasisitiza tufuate taratibu zate za aliyeanzinsha uzi uhu.
man utd vs c-palace live now on irib verzesh
hi friends,
There is this satellite called Nilesat 7° West On 4 Feet Ku Band Dish, i am told i has a lot of good FTA channels .all you need to have is 4ft dish.
follow this link.Nilesat 102/201 & Eutelsat 7 West A at 7.0°W - LyngSat
kindly let me know.
regards
mzawa
Vp matangazo yao ni kiarabu au kiingereza!!