Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Unamaanisha nini recva maalum.Na labda nikinunua hiyo Mpeg 4 nikaendelea kutumia harafu kama nahitaji hizo za ziada baadae ninampango wakwenda moro ila ni mwez wa 6 mwakan nikamtafuta akaniongezea mautundu hayo.Mi nipo Biharamulo Kagera.
 
Tatizo sio mpeg4 zote zinapokea hayo mautundu,nakushaur kabla hujanunua fanya utafit kwanza
 
srt4922A kilo 2.5 na srt4950 kilo 2.2

vip g6? n kwanin hao strong wanakuwa na matoleo mengi hvyo mi hcho ndo nischokipenda kwa strong wanaleta confusion na matoleo yao mengi. ni uzur upi wa strong dhid ya g61
 
True kaka,nashukuru umenikumbusha hilo na ili uwe huru kwa sasa kupata fta,rcva maalumu ni muhimu

Bado swali langu sijapata jibu RECEIVER maalum ni ipi hiyo? Msaada tafadhani pia si wapembeni mfano hizo rcver tunapateje?;
 
Kwaiyo kaka arseloa Kt ya Strong srt4922A,4950H na 4950 series. Ipi kubwa kuliko zote?
 
kwa kuangalia specs unaweza sema 4922 juu lakini nikizipata j3 ijayo nitazifanyia testi.
 
vip g6? n kwanin hao strong wanakuwa na matoleo mengi hvyo mi hcho ndo nischokipenda kwa strong wanaleta confusion na matoleo yao mengi. ni uzur upi wa strong dhid ya g61

kwa m2miaji wa kawaida hawezi ona tofauti lakini kwa advanced user ataipenda. Ukitoa account g6 ni ya kawaida kabisa. Specs zake hazitii mguu kwa srt4922/4950
 
Mkuu, sio mbaya kama utatueleza hizo tofauti ili nasi tuzijue kwa maana bila utaalam wenu sisi ambao hatujabobea hatutajua wapi pakukimbilia.
 
Mkuu naomba sat na freq za emmanul tv kwa KU band i mean ile ambayo iko nyuma ya lnb ya local channel
 
Sasa kaka kwa sisi tunaoishi kwa kutumia sola namaanisha ambako 3g nitatizo ilitupate chanel nyingi kwakutumia C na KU - BAND LNB recver gan zinatufaa ili kupata chanel kama Q tv,Kbc nanyingine?
 
zinapatikana intelsat 904 kwa ku2mia rcva ya dvb-s2
 
ila zote utakazo leta zina seheme za kuweka smart card kama str 4940 au zipo tofauti mbona nki gugo coni walipoandika smartcard mkuu
 
Back
Top Bottom