Unaweza kupata fta chaneli nyingi kutokana na uwezo wa kuwa na satdish 2 au 3,
(1)uwe na c band satdish futi 6 au 8 pamoja na lnb 3 moja iwe c band lnb na 2 ku band, lnb ya kwanza ambayo ni c band utapata chanel 9 ambazo ni
1.ITV
2.EATV
3.CAPITAL
4.TBC
5.STAR TV
6.CHANNEL 10 (kwa shida)
7.MTV1
8.MTV2
9.TIM
Lnb ya pili ni ku ambayo utaifunga juu ya ile c band ya katikati na utapata chanelli kama, BTV, SABC 1,2 na 3, F24, Nollywood plus, nollywood moves, ctl, press tv, channel 44, afrika unite tv, citezen tv, emanuel tv ziko nyingi zaidi ya 70.
Lnb ya tatu ni ku utaifunga upande wa chini na hii umapata chaneli kama Kbc, k24, familly tv, sayare tv (sauti ya rehema), na wbs. Kama utakuwa na dish dogo la ku lifunge liangalie kaskazini muelekeo wa dstv utapata chaneli kama,
lcf, golfe tv, rdv, ortb, drtv internatinal, love world, ebru tv, tpa (feed) kama una HD Reciever unapata na channel ten. To be cont...