Ulimwengu wa FTA Satellite TVs


Mtaalam hebu ipi tp nzuri ya kutafuta Yahsat.
 

Ndugu hapo kwenye yahsat umetumia ku ya ainagani manake nilishaitafuta mpaka hoi na freq zipi ulitumia
 
Ndugu hapo kwenye yahsat
umetumia ku ya ainagani manake nilishaitafuta mpaka hoi na freq zipi
ulitumia

Acha mchezo pale ukiwa mtu wa kupotezea mambo kirahisi tu, baba panakatisha tamaa ile mbaya. Ninayo Stargold na Inverto black, hii ndiyo iliyomaliza kazi japo kwa kujaribu tena na tena,signal haikuzidi 61% TP 11900, na 56% tp 11880: ukiwa na mawingu mazito hupotea kwa muda. dish size 8ft.
 
Sorry Mgjd. Vipi umefanikiwa kuipata E7WA ukiwa Dar? If yes, umetumia LNB gani?
 

Kwahiyi ninunue inverto black ndiyo kiboko na je niifunge chini ya k24 au juu yake au ndiyo niitoe kabisa weka picha nicheki nicheki jinsi ulivyofunga siunajua jua la bongo lilivyo ukiwa juu
 
Sorry Mgjd. Vipi umefanikiwa kuipata E7WA ukiwa Dar? If yes, umetumia LNB gani?

Inverto black kaka, tp 12322V 27500; ina signal 57% dish size 135cm offset.
 

Kwa dikoda ya qsat q15 itafaa kupata izo ch kama fta mkuu
 
Jamani natafuta angle finder(Satellite finder) ya ukweli tapataje? Na kwa bei gani?

Burton
 
Mie nyumbani kuna dishi la kawaida, sijui specification zake, limepoteza chanel zote, nifanyeje ili nizipate maana hata taarifa ya habari sipati.
 
labda name nitoe elimu ndogo nilio kua nayo. wizi wa sharing au hackers channels unapatikana zaidi katika receiver zinazo tumia internet kama vile decoder Dreambox, vu plus, ndio unaweza kutizama channels DSTV free. pia mkitaka kupata zaidi habari za sat au channels pita hapa www.lyngsat.com
 

Mkuu Arsenola, decoder ya strong 4922A naweza ipata kwa bei gani?, na ni original?
 
Habari JF. Jana nilifanikiwa kupata package ya Irib kupitia Arabsat 5C@20degree East katika kijiji cha Bukombe wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita ambako niko kwa shughuli za kitaaluma.Ilinigharimu Dakika zisizozidi 5kupata iribu.

Dish size gani & lnb ya aina gani, Freq, SR & Pol? Nadhani vitasaidia zaidi kwa sie tunaojifundisha haya mambo, shukran kwa taarifa.
 
Jamani humu ndani mbona kimya sana au ndokusema matatizo ya fta yamekwisha tujalibu kuludi sku 1moja. Elim genu bado Msaada kwetu tafadharin.
 
Mgjd. Nimeshindwa kuipata E7WA so far hapa Dar. I need ur help, plz

E7WA una maanisha nini? au ni sat iliopo digrii 7 east? kama ndivyo kwa ajili ya kupata channel zipi? ninacho jua kama ni zile za kiarabu ipo 7w.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…