Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Habari mkuu, namimi nahitaji hiyo srt 4922 nipo Dar mpaka kesho kutwa, niambie bei na namna ya kukupata. Pia naomba unielekeze kwa Mpoto Kariakoo namna ya kufika dukani kwake
 
kaka srt4922 sinazo tena, zimekwiisha. unaweza sasa pata g6 kiasi chochote unachotaka kwa bei nafuu zaidi. kupata bei waweza wasiliana nami kwa pm( private msg)
 
Dekoda ya dstv inawewezekana kutumia kupata channel za ndani tofauti na mfumo wao, wazoefu tupe sat na frq tuchakarike.

Haiwezekani kupata chnls za ndani fta kupitia dstv decoders ila waweza pata fta chnl zinazopatikana kwenye uelekeo wa dstv
 
Nataka kuangalia chanel za SKY UK. Je inaitajika niwe na dish size ngapi na uelekeo wake ni upande gani
 
OK.which setup (Dish size. LNB Decoder) would u recommend ningetaka kupata local channels hata kama sio zote (kenya) na east africa. (ug.tz) BET MTV.Discovery science...NatGeo...Foxtv...News channels(CNN.BBC.DW.) Italian Channels...Movie Channels...and mayb two or three sports channels...
 
OK.which setup (Dish size.
LNB Decoder) would u recommend ningetaka kupata local channels hata
kama sio zote (kenya) na east africa. (ug.tz) BET MTV.Discovery
science...NatGeo...Foxtv...News channels(CNN.BBC.DW.) Italian
Channels...Movie Channels...and mayb two or three sports
channels...

Chnls nyingi ulizotaja hapa huwezi kuzipata zote ktk mwelekeo mmoja, japo baadhi ni Fta na nyingine ni za kulipia,.Hata hivyo, CNN,BBCW, NAT GEO,FOX,DISCOVERY DUBAI ONE, MBCs nk unaweza kuzipata ktk NILESAT 201;na E7wa na E8w ukiwa na dish kubwa na lnb bora kama inverto black ama stargold unaweza pata satellite zote tatu kwa pamoja japo signal zitatofautiana sana hasa Dubai one CNN, BBCW ZITAPUNGUA SANA IWAPO UTAIENDEA ZAIDI E7WA AMBAPO UTAPATA BEINSPORT,fox,etc na E8w utakapo pata MBCs. I recommend to have 8ft prime focus dish or 160cm offset dish with an mpeg4 receiver for HD chnls. you will enjoy the world of FTA.
 
mgjd. me i have both 8ft pf dish na 160cm offset dish pamoja na fuji stargold lnb na srt 4922, nahitaji sana kupata e7wa. nipo dar. ushauri na msaada please.
 
ina maana MTV na BET hazipatikani kokote FTA...sawa channels gani za music ntaweza pata.
 
mgjd. me i have both 8ft pf
dish na 160cm offset dish pamoja na fuji stargold lnb na srt 4922,
nahitaji sana kupata e7wa. nipo dar. ushauri na msaada please.

Mwelekeo Ilipo ZUKU,kuipata Zuku ktk signal ya juu kabisa, shusha dish chini kiasi ukielezkeza kidogo magharibi yaani ukiwa nyuma ya dish peleka kidogo kushoto kwako,tumia Frq 11785v 27500 Dubai one kuipata signal nzuri,peleka dish kidogo tena chini,na kidogo magharibi kama italazimu, tumia 10835v27500 na 12476h27500 E8w
 
Chnls nyingi ulizotaja hapa huwezi kuzipata zote ktk mwelekeo mmoja, japo baadhi ni Fta na nyingine ni za kulipia,.Hata hivyo, CNN,BBCW, NAT GEO,FOX,DISCOVERY DUBAI ONE, MBCs nk unaweza kuzipata ktk NILESAT 201;na E7wa na E8w ukiwa na dish kubwa na lnb bora kama inverto black ama stargold unaweza pata satellite zote tatu kwa pamoja japo signal zitatofautiana sana hasa Dubai one CNN, BBCW ZITAPUNGUA SANA IWAPO UTAIENDEA ZAIDI E7WA AMBAPO UTAPATA BEINSPORT,fox,etc na E8w utakapo pata MBCs. I recommend to have 8ft prime focus dish or 160cm offset dish with an mpeg4 receiver for HD chnls. you will enjoy the world of FTA.
Mkuu hizo lnb zinapatikanaje maana huku mikoani hazipatikani naomba na bei plz
 
Anayejua kuingiza chanel za muvi tv na nyenzake kwa dish la azam tv plz anibip nimpgie anielekeze plz 0753380229
 
Vipi tena TBC WAMESEPA TENA KWENYE C BAND AMA? Juzi walikuwa na signal kubwa tu,mara kidogo kidogo ikaanza kushuka na sasa haipo tena, je kwangu tu ama?
 
Vipi tena TBC WAMESEPA TENA KWENYE C BAND AMA? Juzi walikuwa na signal kubwa tu,mara kidogo kidogo ikaanza kushuka na sasa haipo tena, je kwangu tu ama?

Bado ipo C Band ila signal iko chini sana hata picha haitulii kabisa.Mie naipata FTA kwenye package ya TING.
 
Bado ipo C Band ila signal
iko chini sana hata picha haitulii kabisa.Mie naipata FTA kwenye
package ya TING.

Nimeifata huko Amos lakini sauti yake hainifurahishi its so noisy
 
Kwa watumiaji wa Strong receivers na mnaona haja ya ku upload software mpya, zipo software mpya zimetoka ambazo zinabadilisha kabisa ufanisi wa receiver yako.,,-Ki picha, kiutendaji nk. SRT 4922; SRT 4930; nk. Ingia HAPASat Upload Center | Humax | Strong | Dreambox | Tv Channels | Sky Star 2 | Biss | Keys BOFYA STRONG RECEIVERS KISHA BOFYA STRONG 4 MIDDLE EAST. KISHA BOFYA WIZKID FILES,KISHA TAFUTA AINA YA RECEIVER YAKO KUTOKA KATIKA LIST YA SOFTWARE UTAKAZOZIKUTA HAPO, NB: HAKIKISHA RECEIVER YAKO NI GENUINE/ORIGINAL, DOWNLOAD SOFTWARE YAKO KISHA UNZIP/EXTRACT KISHA SAVE KWENYE USB.ONDOA USB YAKO CHOMEKA KTK USB PORT KWENYE RECEIVER YAKO,INGIA KWENYE MENU, USB,DATA TRANSFER BOFYA SUBIRI IMALIZE ITAJIOFU NA KUJIWASHA YENYEWE TAYARI KWA MABADILIKO. HAKIKISHA UMEME WA UHAKIKA, VINGINEVYO UKIZIMIKA KATIKATI YA PROCESS,UMEUA RECEIVER YAKO,. NA UKIKOSEA SOFTWARE PIA UMEUA RECEIVER YAKO. UWE MAKINI.
 
Back
Top Bottom