Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dekoda ya dstv inawewezekana kutumia kupata channel za ndani tofauti na mfumo wao, wazoefu tupe sat na frq tuchakarike.
OK.which setup (Dish size.
LNB Decoder) would u recommend ningetaka kupata local channels hata
kama sio zote (kenya) na east africa. (ug.tz) BET MTV.Discovery
science...NatGeo...Foxtv...News channels(CNN.BBC.DW.) Italian
Channels...Movie Channels...and mayb two or three sports
channels...
mgjd. me i have both 8ft pf dish na 160cm offset dish pamoja na fuji stargold lnb na srt 4922, nahitaji sana kupata e7wa. nipo dar. ushauri na msaada please.Chnls nyingi ulizotaja hapa huwezi kuzipata zote ktk mwelekeo mmoja, japo baadhi ni Fta na nyingine ni za kulipia,.Hata hivyo, CNN,BBCW, NAT GEO,FOX,DISCOVERY DUBAI ONE, MBCs nk unaweza kuzipata ktk NILESAT 201;na E7wa na E8w ukiwa na dish kubwa na lnb bora kama inverto black ama stargold unaweza pata satellite zote tatu kwa pamoja japo signal zitatofautiana sana hasa Dubai one CNN, BBCW ZITAPUNGUA SANA IWAPO UTAIENDEA ZAIDI E7WA AMBAPO UTAPATA BEINSPORT,fox,etc na E8w utakapo pata MBCs. I recommend to have 8ft prime focus dish or 160cm offset dish with an mpeg4 receiver for HD chnls. you will enjoy the world of FTA.
ina maana MTV na BET hazipatikani kokote FTA...sawa channels gani za music ntaweza pata.
mgjd. me i have both 8ft pf
dish na 160cm offset dish pamoja na fuji stargold lnb na srt 4922,
nahitaji sana kupata e7wa. nipo dar. ushauri na msaada please.
Mkuu hizo lnb zinapatikanaje maana huku mikoani hazipatikani naomba na bei plzChnls nyingi ulizotaja hapa huwezi kuzipata zote ktk mwelekeo mmoja, japo baadhi ni Fta na nyingine ni za kulipia,.Hata hivyo, CNN,BBCW, NAT GEO,FOX,DISCOVERY DUBAI ONE, MBCs nk unaweza kuzipata ktk NILESAT 201;na E7wa na E8w ukiwa na dish kubwa na lnb bora kama inverto black ama stargold unaweza pata satellite zote tatu kwa pamoja japo signal zitatofautiana sana hasa Dubai one CNN, BBCW ZITAPUNGUA SANA IWAPO UTAIENDEA ZAIDI E7WA AMBAPO UTAPATA BEINSPORT,fox,etc na E8w utakapo pata MBCs. I recommend to have 8ft prime focus dish or 160cm offset dish with an mpeg4 receiver for HD chnls. you will enjoy the world of FTA.
naisaka sana Citizen TV kwny intelsat 20 ilipo emanuel Tv,
alieipata atujuze kama ipo kweli kwa mujibu wa lyngsat
Intelsat 20 at 68.5°E - LyngSat
naisaka sana Citizen TV kwny intelsat 20 ilipo emanuel Tv,
alieipata atujuze kama ipo kweli kwa mujibu wa lyngsat
Intelsat 20 at 68.5°E - LyngSat
Vipi tena TBC WAMESEPA TENA KWENYE C BAND AMA? Juzi walikuwa na signal kubwa tu,mara kidogo kidogo ikaanza kushuka na sasa haipo tena, je kwangu tu ama?
Bado ipo C Band ila signal
iko chini sana hata picha haitulii kabisa.Mie naipata FTA kwenye
package ya TING.
Ipo frequency 12552V3100 ama kwenye C band frq 3862V3100