Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Vipi inf dice amc na nyingine nazenyewe zilikata au zilibadili frequency kaka?

Hata mimi nilikuwa natafuta za Infinity nikashangaa za startv ndo zinaingia.Naona labda infinity wamehama.Ila hii frequency ina nguvu sana hakuna tatizo la signal kabisa.
 
vipi hizi za mbc1 and mbc2 za mauritius maana hazifunguki kunani? za angola pia zimepotea PTA and TV zimbo nisaidieni
kuzipata
 
1406710596612.jpg
 
nimeziona ngoja nitafute...vp pale kwenye lnb freq 9750-10600 coz sina uzoef sana na c band

Hbr
Earphone
Charles anaweza akuelekeze. Aweza kuwa mwalimu nzuri kwako.Charles kajarbu kafanikiwa nifaraja sana.Kwako Charles msaaidie Earphone naye msaidie mwingine.
 
Hbr
Earphone
Charles anaweza akuelekeze. Aweza kuwa mwalimu nzuri kwako.Charles kajarbu kafanikiwa nifaraja sana.Kwako Charles msaaidie Earphone naye msaidie mwingine.

Haina mbaya mkuu,hata za continental zinantosha,shukran
 
Bahati mbaya zile za star TV zimekata ikanilazimu niludishe dishi. Kuna tamthilia naifuatilia kupitia star TV na capital TV.

Hata mimi kwangu nilikuwa napata channel zote za continental kupitia dish dogo na rcv ya mpeg4 lakini naona zimekata inanibidi nirudishe dishi kubwa maana tamthilia ndo ugonjwa wangu.
 
Hata mimi kwangu nilikuwa napata channel zote za continental kupitia dish dogo na rcv ya mpeg4 lakini naona zimekata inanibidi nirudishe dishi kubwa maana tamthilia ndo ugonjwa wangu.

Zipo tatzo ukizianika hapa wana kata au wana hama.
 
continental tena wamerudisha freq ya zamani.kwa wale wa amos5 10973 v 30000 blindscan and enjoy. vilevile hapohapo amos5 kuna chanel mpya ya wasabato morningstar tv 12418 v 30000 blindscan and relax
 
Hizi azam decoder inasemekana ni mpeg4, je zinauwezo wa kufungua hizi channel za amos5@17e kama nita add settlite?
 
continental tena wamerudisha freq ya zamani.kwa wale wa amos5 10973 v 30000 blindscan and enjoy. vilevile hapohapo amos5 kuna chanel mpya ya wasabato morningstar tv 12418 v 30000 blindscan and relax
Sawa wamerudi pale lkn channel zina scratch sana!
 
Hivi wakuu nani atupe utofauti wa Azam decoder ambao ni mzuri kuliko decoder zingine. Maana nasikia no nzuri.
 
Back
Top Bottom