ndanda masasi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 772
- 1,177
Hbr Charles
Mpaka sasa Strong srt4922 haina mpinzani Azam wamelipua sana ktk utengenezaji ile rcva na sasa ndio wanazidi boronga kila kukicha material ya sio mazuri ikiwasha rcva ina chemka kama engine ya Bedford
Viatapta vinajia tu. Pili aption zko chache huwezi blanscan yaani ni daraja la chini
Sawa wamerudi pale lkn channel zina scratch sana!
habari Mr Ndanda,
hivi hizo decoder za strong 4922 zinapatikana kwa bei gani? Maana huko tabora kote hakuna kitu hiyo.
Na je kwani huwezi ku upgrade/ ku update decoder ya azam?
Mkuu, wabongo wengi kule wanakimbia lugha, na bila shaka mkuu Arselona uliliona hilo ndiyo maana ukaanzisha thread ya Kiswahili lakini wabongo tumekuwa wazito kujifunza na kufundisha wengine. Badala yake watu wanashinda MMU na kwingineko huko wakija huku wanakuja na porojo. Kule kwa wakina Kungu1 hakunaga porojo na ukileta porojo wanakupotezea hakuna mtu anayeshughulika na wewe.
Hivi ukielekeza dish la azam uelekeo wa dstv je unaweza pata za fta chanel za dstv na je ule uelekeo wa dstv ni east au west ? Maana naona yameelekea kaskazini....
Za dstv hazifunguki nisijue receiver yako ni aina gani ila unaweza tafuta fta nyingine zipo nyingi tu mfano Intelsat 68 Emanuel TVs. Pia uelekeo huo ni east.
Hivi wakuu nani atupe utofauti wa Azam decoder ambao ni mzuri kuliko decoder zingine. Maana nasikia no nzuri.
Aksante mkuu nimekupataku_ADD Satellite:
hiyo ndiyo point kuu inayoipambisha azam tv, hiyo option hakuna kwenye zuku,startimes,digitek,wala continental..maana kama ni mpeg 4 HD hata continental na zuku wanayo,kuongeza satellite ndo silaha tosha ya azam ikitokea ukazichoka channel za satelite yao au kama hutapenda kulipia chanel zao bas unaingiza frequence za sat nyingine na kugeuza dish unacheka na Free To Air tu. so hapo unaweza kuadd SES 5,UTELSAT,AMOS 5 etc na fta unazipata zote.. kibongobongo nakushauri uchukue hiyo au Strong decorder na uachane na uchafu mwingine wa decorders hapa town. mfano mi nacheza na Diseq switch pamoja na lnb ya KU na Cband kwenye dish moja.. siku nikiskia mabepari wameachia FTA bas fasta naitafuta sat mpya natega dish mchezo kwisha
natumia decoder ya azam, hiyo angle ya dstv naweza pata local tvs za hapa bongo?
wacha nigeuze dish nipate irib mie
Kaka naomba unipe elimu kidogo katika Chanel za hapo arabsat20 Chanel zipi zinavipindi vizuri. Maana ni nyingi ila zinaongea sijui kiarabu tupu kasoro Press HD. Labda ipo inayoonyesha soka la Ulaya?.nimetulia na irib tv3 ndani ya hd mpakaa rahaaaaaa