CHIKAMBAKU
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 237
- 21
Pia kwa wapenzi wa soccer ipo pia tv3 ya Ghana inaonyesha soccer na sports news hawa tofauti na irib wao ni english matangazo yao ipo scrambled lkn una unscramble kiaina km umefunga irib unaweza kuongeza lnb ya ku kuwapata hawa mult tv wanazo jumla ya channels km 28 nzuri tu satellite ni Astra 28°E frq tumia 12525H27041
Size ya dish 6ft inatosha kabisa
Hbr
Dkashombo
Hiyo iko mbele katikati au mbele kulia kusho vipimo kama inawezekana charle VP ulifankiwa astra2f@28°E[/lnb Ku]
Mbele sambamba na lnb yako ya cband umbali km cm 10
Km umezipata utaona tv3 iko scrambled kuifungua tumia biss key hii 9E 37 79 4E B9 7F 4A 82
Hbr
Dkashombo
Hiyo iko mbele katikati au mbele kulia kusho vipimo kama inawezekana charle VP ulifankiwa astra2f@28°E[/lnb Ku]
Unasema astra nimepata
Unasema astra nimepata
Ndio swali langu
Ndio swali langu
Ndio kaka nimeipata.
Shukrani sana kaka ila bahati mbaya receiver yangu ni Wiztech 999 nadhani haisapoti hiyo kitu.