Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Hbr.
Joseph
Sijakuelewa hiyo ni satellite ipi 46°E ? Na je iliipata kwa dish gani sababu huyo alikuwa ana semea eutelsat 7A@7e
 
Hbr.
Joseph
Sijakuelewa hiyo ni satellite ipi 46°E ? Na je iliipata kwa dish gani sababu huyo alikuwa ana semea eutelsat 7A@7e

hapo ni hivi
satellite; Azerspace 1
position; 46 east
fq 11169H 30000
MPEG-2/ DVB-S ONLY

PIA
Eutelsat 7 at 7 east
11492v 30000
MPEG-2/DVB-S PEKEE

Madish ni kuanzia ft 4 kuendelea
ila hapo eutelsat 7 at 7 east nimejaribu kwa kutumia dish la azam chenga tu haipo, ila kuna jamaa angu ameipata hiyo chanel kwa dish la ft 6 46east
na pia kuzingatia hizo receiver
kwenye MPEG-4 Ni chenga tupu mpaka mpeg-2/dvb-s
 
Mulize alipata kwa cband pf nataka kuiwinda
 
wana jf mimi ni mgeni ktk huu uzi naanza kwa kuwaomba razi kuingilia maongez yenu mazuri.naomba msaada kuhusu chanel ya rdv inayopatkana amos5.inasiku kazaa haioneshi picha wala audio.natumia rcva ya azam huwa haitoi habar zaid ya no signal.nijulishen chochote tatzo la chanel hii.asanten kwa msaada wenu.
 
Naomba usaidizi, nipo na dish ya ft6 na receiver ya astrovox vsr-260, nilifunga vizuri na kwasasa hivi nimepata channels za bongo. Ningependa kufunga LNB ya pili ya ku band ndio nipate channels zingine kama aljazira, Je itawezekana? na kama inawezekana nitaifunga vipi na frequence nizipi? naomba usaidizi ndugu
 
kama ku utapata za kisouth ktk nyuzi 68.5 east au kwa c band utapata hizo aljeezira kwa position hiyohiyvo yaani mbele ya lnbf ya kibongo ambayo iko nyuzi 64.2 east. satelite ni intelsat20 kwa ku ni hayo tu.
 
Asante sana ndugu,Ningeomba usaidizi wa hizo c-band frequence za Aljazira maana nimetafuta lakini bado sijazipàtà
 
wana jf mimi ni mgeni ktk huu uzi naanza kwa kuwaomba razi kuingilia maongez yenu mazuri.naomba msaada kuhusu chanel ya rdv inayopatkana amos5.inasiku kazaa haioneshi picha wala audio.natumia rcva ya azam huwa haitoi habar zaid ya no signal.nijulishen chochote tatzo la chanel hii.asanten kwa msaada wenu.

Wamehama satellite
 
hapo ni hivi
satellite; Azerspace 1
position; 46 east
fq 11169H 30000
MPEG-2/ DVB-S ONLY

PIA
Eutelsat 7 at 7 east
11492v 30000
MPEG-2/DVB-S PEKEE

Madish ni kuanzia ft 4 kuendelea
ila hapo eutelsat 7 at 7 east nimejaribu kwa kutumia dish la azam chenga tu haipo, ila kuna jamaa angu ameipata hiyo chanel kwa dish la ft 6 46east
na pia kuzingatia hizo receiver
kwenye MPEG-4 Ni chenga tupu mpaka mpeg-2/dvb-s
Usipokuwa makini na mwangalifu na ugonjwa wa ASAS unaweza kuwa kama bendera mtu akikuambia tu huku kuna chnl tayari utaanza kugeuza ungo wako bila sababu ya lazima na pengine chnl unayoitafuta haipo katika eneo unaloishi. Tujifunze kutafuta kwanza uhalisia wa habari kabla hatujaanza kugeuza nyungo zetu.

Aidha napenda pia kusema kwa mara nyingine tenakuwa rcva yoyote ya mpeg4 ni mpeg2 na rcva yoyote ya DVBS-2 ni DVBS-1 na kinyume chake si sahihi
 
Ndungu Arselona mimi bado sija saidika bado, sinaujusi wakutosha lakini baada ya kupitia baadhi ya maelekekezo yako, nimefunga dishi la ft6 na nikapata channels 9za bongo katika intelsate 906,vilevile niliweza pia kukata ringi ya LNB alafu nikaeka LNB ya pili. Lengo hasaa nikupata channels kama aljazira na zenginezo. Lakini nimeambulia patupu, receiver yangu haina blind scaning hivyo inanibidi kutafuta frequence kwa net ndio nieke manual, Nilibahatika kupata channel moja pekee, Citizen TV [3860 H 3100] kwenye LNB ya pil ila ya chini inafanya vizuri channels zote za bongo. Naomba unielekeze na kama itawezekana unipe na hata frequences zenye zina uhakika; Receiver yenye natumia ni AstroVox vsr 260; Ukweli nikuwa elimu yenye nimetumia mpaka kupata hizo local channel nimeipata hapapa kwa blog hivyo basi nipo na imani nitapata msaada kwani kufikia hapo nilipokika nimekwama kabisaaa. Mimi nipo kenya, south coast "kwale"
 
Ndungu Arselona mimi bado
sija saidika bado, sinaujusi wakutosha lakini baada ya kupitia baadhi ya
maelekekezo yako, nimefunga dishi la ft6 na nikapata channels 9za bongo
katika intelsate 906,vilevile niliweza pia kukata ringi ya LNB alafu
nikaeka LNB ya pili. Lengo hasaa nikupata channels kama aljazira na
zenginezo. Lakini nimeambulia patupu, receiver yangu haina blind scaning
hivyo inanibidi kutafuta frequence kwa net ndio nieke manual,
Nilibahatika kupata channel moja pekee, Citizen TV [3860 H 3100] kwenye
LNB ya pil ila ya chini inafanya vizuri channels zote za bongo. Naomba
unielekeze na kama itawezekana unipe na hata frequences zenye zina
uhakika; Receiver yenye natumia ni AstroVox vsr 260; Ukweli nikuwa elimu
yenye nimetumia mpaka kupata hizo local channel nimeipata hapapa kwa
blog hivyo basi nipo na imani nitapata msaada kwani kufikia hapo
nilipokika nimekwama kabisaaa. Mimi nipo kenya, south coast
"kwale"

Inavyoelekea dish lako bado limenyanyuka sana,ili uweze kuipata aljazeera unapaswa kulishusha dish lako kidogo na hiyo lnb ya pili ya C band hakikisha unatoa kile kibao ndani,. fr za aljazeera ni 4064v/h4400 lnb plate itazame kulia kwako. ingiza hiyo fr kisha inamisha dish utailenga bila shaka.
 
Asante sana kakangu kwa maelekezo yako kwani nimefaulu kukamata aljazira! Je kunauwezekano wakupata channels zingine nyingi hasaa za movie?
 
hapo ni hivi
satellite; Azerspace 1
position; 46 east
fq 11169H 30000
MPEG-2/ DVB-S ONLY

PIA
Eutelsat 7 at 7 east
11492v 30000
MPEG-2/DVB-S PEKEE

Madish ni kuanzia ft 4 kuendelea
ila hapo eutelsat 7 at 7 east nimejaribu kwa kutumia dish la azam chenga tu haipo, ila kuna jamaa angu ameipata hiyo chanel kwa dish la ft 6 46east
na pia kuzingatia hizo receiver
kwenye MPEG-4 Ni chenga tupu mpaka mpeg-2/dvb-s

Hallo Joseph Chanel za Star TV amos5@17 bado zipo?
 
Hallo Joseph Chanel za Star TV amos5@17 bado zipo?

mmh zote no signal,
nimebadili ile freq yao ya zamani napo no signal,
nahisi wamezihama hizi tp zao mbili au wamehama kabisa satellite. Ila mwenye decoder ya blind scan atusaidie ku scan hiyo sat ya amos5 @ 17 na atuambie kama wamehama sat wapo kwenye tp ingine..... Plz
 
Nahisi wamehama mi yangu ina scan ila nimeambulia patupu. Ss kujua kwamba wamehamia wapi ndo mpango.
 
Asante sana kakangu kwa
maelekezo yako kwani nimefaulu kukamata aljazira! Je kunauwezekano
wakupata channels zingine nyingi hasaa za movie?

kama umefanikiwa kupata Aljazeera kwa signal ya juu kabisa, basi uki blind scan unaweza kupata chnls nyingi za India,na Korea, kuna baadhi zina Indian movies, ila wakt mwingine zipo ON na OFF.
 
Mazee kama una ungo wa ft 8 unaweza kupata Yahsat1 na local chnls zote bila shida yoyote. Yahsat kuna chnls nyingi za movie SD NA HD, KAMA VILE MBCs zote, Dubai zote, Fox, gem,Discovery, star movies, etc ni patamu hata kuliko E7wa. Yahsat ipo karibu sana NSS 12,ILIPO K24 YA KENYA. UNANYANYUA DISH KIASI CHA 4CM YAANI UNAACHA MUHIMILI KUZAMA NDANI 4CM. KWA LNB ULIYO NAYO UNAPATA BEAM ZOTE WEST NA EAST. UTAENJOY ILI MBAYA.

Mimi nipo iringa nina dish la 8ft lina jeki na receiver ya MEDIACOM930+ je naweza pata hizo channels?
 
Mzigo huu unapatikana kwa bei Poa. 230,000/- Wahi sasa. Ni "Strong SRT 4922A" new model. Contact Me on 0715-240140.
 
Back
Top Bottom