ndanda masasi
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 772
- 1,177
Hbr.
Joseph
Sijakuelewa hiyo ni satellite ipi 46°E ? Na je iliipata kwa dish gani sababu huyo alikuwa ana semea eutelsat 7A@7e
Mulize alipata kwa cband pf nataka kuiwindahapo ni hivi
satellite; Azerspace 1
position; 46 east
fq 11169H 30000
MPEG-2/ DVB-S ONLY
PIA
Eutelsat 7 at 7 east
11492v 30000
MPEG-2/DVB-S PEKEE
Madish ni kuanzia ft 4 kuendelea
ila hapo eutelsat 7 at 7 east nimejaribu kwa kutumia dish la azam chenga tu haipo, ila kuna jamaa angu ameipata hiyo chanel kwa dish la ft 6 46east
na pia kuzingatia hizo receiver
kwenye MPEG-4 Ni chenga tupu mpaka mpeg-2/dvb-s
Asante sana ndugu,Ningeomba usaidizi wa hizo c-band frequence za Aljazira maana nimetafuta lakini bado sijazipàtà
wana jf mimi ni mgeni ktk huu uzi naanza kwa kuwaomba razi kuingilia maongez yenu mazuri.naomba msaada kuhusu chanel ya rdv inayopatkana amos5.inasiku kazaa haioneshi picha wala audio.natumia rcva ya azam huwa haitoi habar zaid ya no signal.nijulishen chochote tatzo la chanel hii.asanten kwa msaada wenu.
google intelsat 7/10
Usipokuwa makini na mwangalifu na ugonjwa wa ASAS unaweza kuwa kama bendera mtu akikuambia tu huku kuna chnl tayari utaanza kugeuza ungo wako bila sababu ya lazima na pengine chnl unayoitafuta haipo katika eneo unaloishi. Tujifunze kutafuta kwanza uhalisia wa habari kabla hatujaanza kugeuza nyungo zetu.hapo ni hivi
satellite; Azerspace 1
position; 46 east
fq 11169H 30000
MPEG-2/ DVB-S ONLY
PIA
Eutelsat 7 at 7 east
11492v 30000
MPEG-2/DVB-S PEKEE
Madish ni kuanzia ft 4 kuendelea
ila hapo eutelsat 7 at 7 east nimejaribu kwa kutumia dish la azam chenga tu haipo, ila kuna jamaa angu ameipata hiyo chanel kwa dish la ft 6 46east
na pia kuzingatia hizo receiver
kwenye MPEG-4 Ni chenga tupu mpaka mpeg-2/dvb-s
Ndungu Arselona mimi bado
sija saidika bado, sinaujusi wakutosha lakini baada ya kupitia baadhi ya
maelekekezo yako, nimefunga dishi la ft6 na nikapata channels 9za bongo
katika intelsate 906,vilevile niliweza pia kukata ringi ya LNB alafu
nikaeka LNB ya pili. Lengo hasaa nikupata channels kama aljazira na
zenginezo. Lakini nimeambulia patupu, receiver yangu haina blind scaning
hivyo inanibidi kutafuta frequence kwa net ndio nieke manual,
Nilibahatika kupata channel moja pekee, Citizen TV [3860 H 3100] kwenye
LNB ya pil ila ya chini inafanya vizuri channels zote za bongo. Naomba
unielekeze na kama itawezekana unipe na hata frequences zenye zina
uhakika; Receiver yenye natumia ni AstroVox vsr 260; Ukweli nikuwa elimu
yenye nimetumia mpaka kupata hizo local channel nimeipata hapapa kwa
blog hivyo basi nipo na imani nitapata msaada kwani kufikia hapo
nilipokika nimekwama kabisaaa. Mimi nipo kenya, south coast
"kwale"
Inavyoelekea dish lako bado limenyanyuka sana,ili uweze kuipata aljazeera unapaswa kulishusha dish lako kidogo na hiyo lnb ya pili ya C band hakikisha unatoa kile kibao ndani,. fr za aljazeera ni 4064v/h4400 lnb plate itazame kulia kwako. ingiza hiyo fr kisha inamisha dish utailenga bila shaka.
hapo ni hivi
satellite; Azerspace 1
position; 46 east
fq 11169H 30000
MPEG-2/ DVB-S ONLY
PIA
Eutelsat 7 at 7 east
11492v 30000
MPEG-2/DVB-S PEKEE
Madish ni kuanzia ft 4 kuendelea
ila hapo eutelsat 7 at 7 east nimejaribu kwa kutumia dish la azam chenga tu haipo, ila kuna jamaa angu ameipata hiyo chanel kwa dish la ft 6 46east
na pia kuzingatia hizo receiver
kwenye MPEG-4 Ni chenga tupu mpaka mpeg-2/dvb-s
Hallo Joseph Chanel za Star TV amos5@17 bado zipo?
mmh zote no signal,
nimebadili ile freq yao ya zamani napo no signal,
nahisi wamezihama hizi tp zao mbili au wamehama kabisa satellite. Ila mwenye decoder ya blind scan atusaidie ku scan hiyo sat ya amos5 @ 17 na atuambie kama wamehama sat wapo kwenye tp ingine..... Plz
Asante sana kakangu kwa
maelekezo yako kwani nimefaulu kukamata aljazira! Je kunauwezekano
wakupata channels zingine nyingi hasaa za movie?
Mazee kama una ungo wa ft 8 unaweza kupata Yahsat1 na local chnls zote bila shida yoyote. Yahsat kuna chnls nyingi za movie SD NA HD, KAMA VILE MBCs zote, Dubai zote, Fox, gem,Discovery, star movies, etc ni patamu hata kuliko E7wa. Yahsat ipo karibu sana NSS 12,ILIPO K24 YA KENYA. UNANYANYUA DISH KIASI CHA 4CM YAANI UNAACHA MUHIMILI KUZAMA NDANI 4CM. KWA LNB ULIYO NAYO UNAPATA BEAM ZOTE WEST NA EAST. UTAENJOY ILI MBAYA.