Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Wana jf ningependa jua jinsi ya kupdate. Decoder yangu ya wiztech wz-999HD

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hv kwa kutumia receiver ya azam naweza kupata channel za fta hasa hz za din emmanuel tv na nyinginezo.
 
Naombeni msaada wana jf natumia azam dish eutelsat 7B je nikitumia na receiver ya mediacom mpeg4 naweza pata channel zinazoonyesha EPL?
 
Hiv continental bado wapo hewan fta au washazifunga channel zao.
 
mussa telecommunication, Levi store au maduka jirani na jengo la simba msimbazi
 

boss, smile unatumia bundle gani na bei ikoje na unakaa kwa mda gani. mi natumia airtel na kustream internet TVs kwa siku natumia ka gb 3 na kuendelea. ila napata channel za ukweli sana
 
mussa telecommunication, Levi store au maduka jirani na jengo la simba msimbazi
Nilienda kwa levi niliambiwa yapo kumbe ni 135cm nikaacha natafuta kwa ajili ya mota yangu maximum dish size ni 120cm nikiweka hilo la 135cm haizungushi vizuri, nitaenda kuangalia kesho hilo musa telecommunication lipo kwa wapi?
 
unatumia lnb gani kwa yahsat 1
 
Swali kwenu Marafiki zangu,hapa Arusha kwa sasa mvua kunyeesha nikama kawaida sana,sasa Mimi natumia Dish la Ft6 kupata Eutalsat 7 west(nilesat)sasa wakati mvua ikinyesha baadhi ya channel uwa signal inashuka na zingine kupelekea kupotea kabsa aswa Mbc zote na Abu dhabi zote na nyinginezo!sasa swali langu nauliza shida ni nini?
 
kwanza tambua hiyo sat beam yake haifiki huku kwetu so signal zake hazina nguvu ya kutosha pili jaribu kutumia ku yenye nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…