Mimi sijui kama continental wanafanya makusudi au vipi,maana ni kweli chaneli zao kuna wakati zinastream fresh ila muda mwingi zinastua stua hadi zinaboa..kama unatumia Strong SRT 4950H utagundua hilo na Wiztech ndio kabisaaa hadi sauti inakwama..Cha ajabu risiva nyingi za kichina hazikati kati..
Mi natumia amiko mini hd se napata tatizo hilohilo
Yeah..
Nimetumia azsky,qsat na satxtreme hazina tatizo hilo..
ila strong,wiztech na mediacom zinalo..
yaani zile risiva zenye bei kubwa ndio zinazosumbua..
mi hata sielewi kwa kweli..
nani alikudanganya kuwa str decoda zinakata sauti ktk package ya continental?labda iwe imetengenezwa tandahimba.na msilinganishe str na wiztech
Nina SRT 4950H ina tatizo hilo..
Nina SRT 4950H ina tatizo hilo..
mhh basi sina neno hapo kaka maana toleo hilo sijalitumia,mimi natumia str4922 sina shida hizo
Jaribu ku update software yake kama ni ya zamani huenda ikasolve
msaada jamani. Kama kuna mtu yeyote hapa tanzania amebahatika kupata chaneli za arabsat 5a 30.5 east (eritv2) anijuze.
mkuu tafuta ft 8 utaitia mjengoni bila tatizo.ila kama una str 4922 tafuta nss 12 upate sport 24 chanel ambayo epl ,laliga,b liga ni bandika bandua kama super sport 5
mkuu tafuta ft 8 utaitia mjengoni bila tatizo.ila kama una str 4922 tafuta nss 12 upate sport 24 chanel ambayo epl ,laliga,b liga ni bandika bandua kama super sport 5
mkuu,hiyo sport 24 ipo ku au c band
mkuu chanel zote zilifungwa kwa nguvu ya vu zinapatikana kwa lnb ya cband pekee
mwenye dish la 110cm aniuzie au la 135cm aluminium
kwa nn usinunue dukani
maduka niliyopita yapo ya 135cm steel haya kwenye mota yangu inazidiwa kidogo so natafuta la aluminium kama nitapata au hilo la steel lakini liwe dogo kidogo kama 110cm hv. Nilipita baadhi ya maeneo kwenye nyumba za watu nayaona ila inaonekana ni ya zamani sidhani kama cku hzi wanaleta ndyo maana kama kuna mtu analo hilo la zamani kama linanifaa tunaweza hata kunadilishana na langu la 135cm steel kutokana na makubaliano au aniuzie kabisa. Au kuna duka unafahamu yapo