Mrimi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,691
- 640
Mimi sijui kama continental wanafanya makusudi au vipi,maana ni kweli chaneli zao kuna wakati zinastream fresh ila muda mwingi zinastua stua hadi zinaboa..kama unatumia Strong SRT 4950H utagundua hilo na Wiztech ndio kabisaaa hadi sauti inakwama..Cha ajabu risiva nyingi za kichina hazikati kati..