Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ingia hapa Satellite Finder / Dish Alignment Calculator with Google Maps | DishPointer.com
Weka location Dar es salaam hafu chini chagua satellite unayoitakahalaf7 bofya go utapata details za uelekeo ilipo. Angalia hiyo picha hapo. Set elevation angle kwenye dish na 61.7 na uelekeo wa kulia au kushoto (azimuth angle) Ni 285 unaweza tumia compass siku hizi hata smart phone zinayo. Ingia pia hapa SatBeams - Satellite Coverage Maps - Sat Footprint Intelsat 10-02 (Intelsat 1002, Intelsat Alpha-2, Intelsat X-02, IS-1002) / Thor 5 (Thor 2R) / Thor 6 (Intelsat 1W, IS-1W) kuangalia footprint ya hiyo satellite unayoitaka kama inapatika na dar angalia picha hapo ukibofya kwenye hiyo beam husika utapata pia details za uelekeo ilipo na hata ukubwa wa dish unotakiwa kwa case yaho beam inayopatikana ni hiyo ya Sub-Saharan kisha nenda hapa Eutelsat 16A at 16.0°E - LyngSat utapata transponder zote za kwenye hiyo sat angalia beam unayoitaka hapa unaweza kutumia hii 11554H30000 kutafutia nimetoa haya maelezo ni kwa kuyafuta satellite yoyote ile
View attachment 261327

Best umenipa somo moja tamu ile mbaya hakika am enjoy be bless
 
Mimi ninazopata ni hizi
Eutelsat w2m @16E
Eutelsat w2a @10E
Eutelsat w3a @7E
Astra 1E @4.8E
Turksat2A @42E
Eutelsat w4 @36E
Nilesat @7W
Amos 5 @17E
Yamal 402 @54.9E
NSS 12 @57E
Intelsat 17 @66E
Intelsat 20 @68.5E
Eutelsat 70B @70E
ABS2 @75E
Aptstar 7 76.5E
Kama kuna nyingine naweza pata
Nimependa hayo maujuz uliyonayo mi naomba unipe maelekezo ya kuipata amos 5 kama itawezekana naomba na picha kabisa.
 
katika kuchangia mawazo mafundi wenzangu,uelekeo wa nilesat 7w kwa dish la ft 6 na hiyo nilesat ikiwa ni prime focus waeza ongeza lnb 3,sirius 4.8E,ukapata tv congo,france 24 etc,chini yake waongeza eutelsat w3 7E,ukapata rts,pia kwa chini zaidi waongeza amos 5 @ 17E ukapata local channels package ya continental,na hata unapokuwa na ku dish ya 135cm yote pia hayo yawezekana wandugu,ila eutelsat w3 huwa yasumbua kidogo maana signal iko dhaifu

kama ungekuwa na picha ingekuwa vizuri zaidi, kazi nzuri.
 
Hiyo arabsat utaifunga vipi hapo? nadhani arabsat 5c?.

mbona haukuuliza izo nyingine zinafungwa wapi.?

apo zilipo fungwa izo nyingine basi arabsat5c nayo inafungwa kwa chini.
 
Mimi mwenyewe nilikuwa napata arabsat 5c baadae nikaamia paksat 1R kwa ajili ya Ptv!juzi nimerudi tena Arbsat 5c ili niunge na Astra 2F nimeshindwa sijui nakosea nini?
 
sio kila eneo io setting inakubali, wengine inakataa ila ni simple sana 0765 42 99 14 nicheki wasapu nikusaidie.
 
Wataalamu hebu niwekeni sawa kuhusu hili; king'amuz changu cha Azam kimepata shot na kupoteza signal, so nilichofanya nmepachika receiver ya Mediacom ya Dvb-mpeg2 katka dish la azam na kuedit sat ya Amos 7e na kisha nikaingiza freq. 12015V29950 Kisha nikascan nakupata channelz 43, congo tv, crt, rt, france24, cctv na wenzake. Ila hakuna ya kibongo hata moja au kenya, so naomba kujua kama kuna ujuz wa kupata za kibongo/kenya. Nb. Sas nmepata maujanja ya namna ya kuangalia zuku bila kulipia, na unapata channelz karibu 150 free. N pm ntakujuza
 
Hujaweka amos17 mkuu upo hapo hapo 7b .hiyo tp umechanganya mambo mkuu tena umechanganya balaa.yaani umeidit kwa kingamuz na wala hujacheza na dish.???!
 
Wataalamu hebu niwekeni sawa kuhusu hili; king'amuz changu cha Azam kimepata shot na kupoteza signal, so nilichofanya nmepachika receiver ya Mediacom ya Dvb-mpeg2 katka dish la azam na kuedit sat ya Amos 7e na kisha nikaingiza freq. 12015V29950 Kisha nikascan nakupata channelz 43, congo tv, crt, rt, france24, cctv na wenzake. Ila hakuna ya kibongo hata moja au kenya, so naomba kujua kama kuna ujuz wa kupata za kibongo/kenya. Nb. Sas nmepata maujanja ya namna ya kuangalia zuku bila kulipia, na unapata channelz karibu 150 free. N pm ntakujuza

mkuu nipe hayo maujanja
 
Hizo channel ni za satellite zingine ambazo zipo karibu na hiyo 7e ambazo ni astra 1E/4A @4.8 na ses5 @ 5e kupata za kibongo package ya c*nt*nent*l kwenye amos5 @17e unatakiwa kuzungusha dish kidogo kulia na juu kidogo kama umesimama nyuma ya dish unaweza tumia hii transponder 12418V30000 ya ATN kutafutia
 
Nauza H-H dish motor motor Tsh 320,000 receiver HD Studio mpeg4, Tsh 200,000 vyote bado vipo kwenye hali nzuri napata chanels kuanzia 76e hadi 7w fta na scrambled zaidi ya 3000 anayehitaji tuwasiliane
 
Motor picha yake ni hiyo
 
Attachments

  • 1435487710006.jpg
    1435487710006.jpg
    82.8 KB · Views: 585
Can I nab Eutelsat 7 West A @ 7.3W using 135cm offset? Location Dar es salaam
 
Jamani hembu nisaidien nimeona mtu mwenye azam anaangalia chnel za continental bure msaaada jmn
 
Kila niki jaribu kifunga dish la azm linakubali lakin signal inacheza haiko stable anaejua tatizo anicheki 0654249906
 
Wadau naomba kuuliza hv zile irib tvs zinapatikana tena kweli?kwan kwangu zinaandika no signal na je kuna channel nyingine za mpira kwa dish la ft 6 nalingine la dstv pamoja na receiver ya mpg4??msaada jaman wadau
 
Jaribu kufuatilia kwenye Badr 26E 11881 h 27500 kwani afrika magharibi wanazipata hapo! Kwa hapa bongo sina uhakika
 
Back
Top Bottom