Ulimwengu wa roho ni timilifu

Perfect...!!!!

Jr[emoji769]
 
Umewaza kimikakati sana,je Kuna watu wameandikiwa pepo na wengine jehanamu?Hawa wa jehanamu hawawezii kufanya Toba ya dhati na kubadilisha uwelekeo.laabda mshana uniambie kila mtu kaumbiwa rizik yake toka anazaliwa.kuna watu fukara Ila wataishi kupitia wengine,tajiri amewekwa Kama daraja wengine wa pite

Sent from my TECNO B1p using JamiiForums mobile app
 
Yeah kuna madaraja tangu kutungwa mimba mpaka kifo na hii sometimes inatokana na laana za ukoo ambazo huenda mpaka vizazi vinne...
 
je ukiishia jehanamu is it natural mistakes ya mchoro au ya kwako muenda zake kuna zile mastory eti roho ikitoka inakaa pembeni so unakua unasikia na kuona kila kitu kama movie vile mpaka ukifukiwa kwenye original yako udongo ndio unakata maruerue roho inatokomea. @mshanajr
 
Roho ndio uhai mwili ni jumba tu liharibikalo kwahiyo kama kuna kitu kinaona basi ni roho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku nili comment post yako,nikakwambia hili eneo ndo spesfication yako.maandiko yako yananguvu mkuu.big up.fanya mpango tengeneza kitabu kwa maandiko ya dizaini hizi.nadhani itakuwa vyema.
 
Kuna siku nili comment post yako,nikakwambia hili eneo ndo spesfication yako.maandiko yako yananguvu mkuu.big up.fanya mpango tengeneza kitabu kwa maandiko ya dizaini hizi.utaponya wengi lakini utapata kitu si haba.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1752][emoji1752]
 
Huko sabatoni na kwingineko wengi tumeambiwa hivi ''Ukifa subiri kufufuliwa siku ya hukumu tu!! hapo sasa ni ama uende motoni au uende mbinguni!!! kutegemea na matendo yako!!

Science of incarnation Wao ni tofauti inasema utaishi upya sehemu tofauti na hapo ulipozaliwa na mawazo mapya!!! km mtoto Mbugua alishawahi kuishi, akafa tena anaishi upya!!
 
 
Ahsante.
 
Moyo ni pampu ya kusukuma damu
Nielewavyo mimi, injini ya uhai ni Roho na injini ya matendo, hisia, kumbukumbu, tabia na kadhalika ni NAFSI, mwili ni sehemu ambayo Roho na NAFSI ndo makao yake, MOYO ni utashi

Nipo tayari kukosolewa, nimeeleza navyoelewa mimi
 
Dunia lukumbalukumba!!
Kuna mwl alikuja kuripoti kazin akiwa mgonjw amechiz kam karogwa hivi, aliletwa kuripoti na mamaake,
Alikuw vby sn, kanisan wakahangaik sana bila mafanikio.
Akaenda kuponea kwa mgang wa kienyeji,
SAS hivi yupo vzr hadi kamjengea mamaake nyumba.
Hilo unasemaje?
Mshana Jr

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Hizi ishu hizi kama ugonjwa hakupewa na mganga mwenyewe basi mganga alizifahamu codes za kutengua uchawi husika
 
MMnatuchanganya tu!!!hebu tumia jicho lako la tatu kuniambia Maisha yangu ni yapi hasa!!nimepambana Sana mimi huko mashuleni!!hebu niambie mshanar mi ni risk taker Sana!nisije ingia Hata ile kampuni ya mason!!
Uko kwenye hatua nzuri ya mafanikio.. HUTAKUFA MASIKINI na utakuwa mtu kati ya watu.. Kikubwa focus na usikate tamaa umri bado unaruhusu.. Nakuombea..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…