Ulimwengu wa roho upoje?

Nia ya huu uzi ni kupeana elimu ya kujitambua katika uhalisia wetu kama wanadamu na ikibidi kuufikia ujuzi wa kweli unaompatia mtu uhuru
Ulimwengu usioonekana upo wapi ?
✍️
 
Asipokielewa kwa ufafanuzi huu basi
 
Jambo ambalo linasemwa lipo dhana ya ulimwengu was roho ipo ,tujiuulize tu kwani ulilala usiku huwa unatambua umesinzia saa ngapi pia mwili ukiwa katika Hali ya usingizi binadamu ubongo wake unafanya kazi kubwa Sana kuliko ukiwa kawaida hii inaashilia Kuna ulimwengu binadamu huisi yupo wakati wakulala na ndio maana huweza kuota ndoto na kushila maono yaliyomo katika ndoto, pia uwepo was nguvu zisizoonekana kawa uchawi ,Mungu bado vitu vyote hivi vinaashilia kutokana na mapokeo yawanavyovipokea.pia Jambo ambalo waliowengi wanasadiki lipo no dhahiri lipo je nguvu gani pia husababisha usiku na mchana ,nyota anga na sayari kuwepo kwake supernatural power but this verify the prence of sprit and omnipotence power mwisho wa kunukuu
 
Nilichokuelewa Mimi ..ni kwamba ..haujui na hauna ufahamu wowote kuhusu maswala ya kiimani na haupo tayari kuelewa au kuelimishwa ...lkn mi na maswali machache tu kwako je unaamini kwamba Mungu yupo au la? Pili je unaamini kwamba duniani Kuna wachawi ? Je unaamini kwamba Kuna mapepo ,na majini ?
Majibu yako hapa ..angalau yanaweza kukupa picha ya ulimwengu wa kiroho...tafajari kidogo kuhusu hayo maswali machache ...Kisha ..endelea kuamini unachokiamini[emoji137]
 
vp upepo upo? na ushawah kuuona? Vp unaweza kuuzibitisha pasipo kutumia miti kuperushwa nk? Ok mwisho wa yote sitaki unijibu mana huu uchiz hapa sawa na chura wajadili mambo ya binadam ni utaila ngoja nikaendele kula bangee pengne itanipa majibu mana binadam siwaelew kabis
 
Ulimwengu wa Roho ukiliona ni kama neno tu ila Jambo zito sana kwanza nafikir kama unaamini Mungu yupo atakuwa unakubaliana na mimi kuwa ktk Uumbaji kuna vitu vinavyoonekana na visivyoonekana. Sasa vitu vingi visivyoonekana vipo katika Ulimwengu wa Roho . Ulimwengu wa Roho kwa tafsiri nyepesi sana ni Ulimwengu wa ndoto , yaani mwanzoni mwanadamu anatakiwa awe na uwezo wa kupata ndoto nakuzikumbuka kadiri ananyojenga mahusiano na Mungu na kwa msaada wa Roho mfano Roho mtakatifu ktk ukiristo ndivyo uwezo na siri nyingi huweza kujua. Kinachoniuma mimi kwamba watu wa gizani wanajua kuutumia Ulimwengu wa Roho kuliko wa nuruni kwa kuwa ni wa siri ni vigumu wasio wa rohoni kujua mbaya zaidi kila kinachotekea ktk Ulimwengu wa mwili huwa asili yake katika Ulimwengu wa Roho . Katika miaka yangu mitatu ku operate ktk Ulimwengu wa Roho kwa kalama ya kuona( uonaji) nimepata kujua siri nyingi mfano kuna makundi 3 ya wanadamu mfano
1.wa gizani hawa ni wengi hasa huamini mambo ya mizimu na matambiko, wachawi wako kundi hili . Kiasili huingia katik kundi hili wakiwa watoto , huweza kutenda kazi kwa msaada wa Roho Za gizani. Shetani ni kiongozi katika kundi hili.
2. Wana wa Nuru(Nuruni) hawa ni wachache sababu adui anaanza kuwakandamiza tangia wadogo , na wanaposimam hupigwa sana vita na adui hivyo ni kundi la watu wachache wanao operate ktk kundi hili. Mungu mwenyewe huweza kuwafanya wateule wake mwenyewe ni vizuri kujua huko sio Jambo dogo ku operate ktk Ulimwengu huo.
3. Hawa ni wana ambao hawajitambui kiasili wanapaswa wawe wa nuruni ila ni vigumu maana kuna ukuta mzito wa kuwafikia, hivyo adui huwa ana vuna huku na Mungu huwa anavuna katika kundi hili lenye watu wengi. Wengine kutokana na ugumu wa Maisha huitafuta nguvu hivyo huishia kuwa wa Nuruni ( katika kuamini Mungu) au Gizani kupitia kwa waganga au wachawi.
Wew unadhani upo kundi gani?

Machache niliyaoyabaini ni kama yafuatayo nchi yetu ni vigumu kupiga hatua sababu kuna agano ktk Ulimwengu wa Roho ambalo ni chukizo mbele ya Mungu ingawa ktk macho ya damu ni Nembo ya Taifa ila kuna Siri kubwa, ukifatilia vizuri hapa kati kati Ndege nyingi zimeanguka na zitazidi kuanguka, matukio ya moto hayataweza kukoma. Katika saisa chama tawala kipo Kwenye njia ngumu hasa uchaguze ujao, Chama kikuu cha upinzani kitaweza poteza kiongozi wake.
Hitimisho
Hakuna kitu chochote ktk Ulimwengu wa mwili kitatokea bila kuanzia katik wa Roho pia huwezi kuwa mtu mkuu sana katika uso wa Dunia hii bila hizi mamlaka mbili kuhusika ktk mchakato wako . In short huku nimeweza kupata Siri nyingi hata nikiamua kuandika kitabu nitahitaji kurusa nyingi sana . Personally ktk miaka yangu 3 nayaona Maisha ni rahisi kufanikiwa na ktk angle zote kupitia msaada wa nguvu Za Mungu vinginevyo ndugu huwezi kutoboa au kuwa mtu Mkuu kama hutoweza kutafuta nguvu hasa Za Mungu maana Za gizani ni upotofu.
Ikumbukwe huo Ulimwengu una magari, shule, Askari, viongozi, wanafanya mikutano ni Ulimwengu halisi kabisa [emoji24][emoji24]
 
Mimi na swali apo Je ukiwa katika kundi namba mmoja1 kuna uwezekano wa kuhama na kwenda kundi jingine?
Pili kati ya makundi hayo ni lipi lenye mamlaka juu ya kundi jingine
Tatu ni njia zipi ninaweza kuzitumia ili nitoke kwenye kundi namba tatu?
 
1. Kuhama kundi number moja inawezekan japo ni ngumu sana maana maagano Yao ni kama kifungo na wengi huogopa kufa so inahitaji Neema ya Mungu.ukitaka kujua ugumu wew fikiria kafara zao huweza kuwa mke, mtoto , mzazi Kwahyo watu wanajitoa ktk madhabau hizo kiasi cha kumwaga damu Za wapendwa wao. Kwa imani na kumtumaini Mungu inawezekan kutoka katika kundi hili japo ni wachache huwa wanaotoka ktk kundi hili pia majority hujiunga wakiwa wadogo so ni kama wanajikuta wako tu automatic huko japo wengine hujiunga kwa tamaa zao.
2. Kundi la Nuruni ndo lenye nguvu sana ila watu wengi wanadhani kuwa wa imani ni vigumu so Lina mamlaka juu ya makundi yote sasa huhitaji mhusika awe karibu na Mungu sana sababu hupata mashambulizi sana. Faida ya kundi hili ni ku enjoy Maisha ya sasa na uzima wa milele. Kundi la gizani Lina mamlaka sana katika uso wa Dunia sababu Shetani huweza kukupa vitu, vyeo, umaarufu pia kwa kuwa principle zake ni Za mwlilini watu wengi wanapenda maana huishi maisha ya anasa . Changamoto yake hakuna uzima wa milele pia kafara zake ni maamivu hivyo katika uso wa Dunia kundi la gizani Lina nguvu ktk bibilia shetani anaitwa Mkuu wa Dunia hii sababu watu wengi tunatazam sana Mali . Kwahyo dini hata viongozi maarafu wapo katik kundi hili ila Lina operate kwa Siri.
3. Inawezekan mtu yoyote kutoka kundi moja kwenda jingine coz Mungu ametupa will sasa inshu ni matokeo ila kundi la Nuruni kuna level fulani ukiujua ukweli mtu huwa tayari kufa mfano Stephano katika kitabu Cha Matendo ya Mitume kuna vitu alikuwa anajua ndo maana akawa tayari kupigwa mawe hadi afe . Hata mimi binafsi kuna Siri nyingi naona dunia hii ina uchafu mwingi San. so kuwa gizani No coz huu mwili ni kama nguo tu kuna muda tutaweza kuuvua ila Roho iko pamoja basi milele na ina mwili wa Rohoni.
 

Kutoka kundi Number tatu ni maamuzi ambayo yanahitaji kuwa na imani mfano mimi nilikuwa nipo huko ila ilitokea shida kubwa sana ikanipasa ni muulize Mungu je kweli upo na kwanini uko kimya so nilifunga siku mbili kavu na kutokulala siku mbili kavu, macho yaliingia ndani hapo ilishuka nguvu isiyoya ya kawaida mwili ukawa una vibrate sana ikamulika maisha yangu ya nyuma na kwanini huwa nafeli na ikamulika Maisha ya mbeleni hadi kufa katika hali ya ajabu sana. Kuna siku nitakuja kuandika hii inshu. Ninakupa moyo ukiwa unatoka Kwenye kundi hili usiwaze sana maana Mungu atakusaidia yeye hata kama una udhaifu gani yeye ndo atakusaidia hatua kwa hatua. Maisha yako yatabadilika ghafla mfano mimi ndani ya miaka 3 mambo niliyoyafanya sikuwahi hisi naweza yafanya katika maisha yangu.
 
Huo ulimwengu mbona mi siuoni? Au upon kwaajili yawatu kadhaa?
 
Ndoto ni mfululizo wa picha, mawazo, mihemko na hisia ambao unatokea akilini, kwa kawaida bila makusudi, katika hatua fulanifulani za usingizi,
Huyo mzee kutabiri hailazimishi sisi kuamini kuwa Kuna ulimwengu wa roho njo na picha digital ni kubwa saivi
 
🙇
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…