Ulimwengu wa roho upoje?

Ulimwengu wa roho upoje?

Ulimwengu wa Roho ni mzuri...

Unaona mengi yanayokuja, na yaliyopo.

Hapa kwa wenye Imani na YESU ndio huona na sio wote...

Isipokuwa wale waliochaguliwa kwa kusudi Fulani.

Mimi ni mmoja wao ambao naona, naona vingi sana mpaka kitaifa na kimataifa.
 
Natamani kukuuliza swali lakini huenda likawa la kipuuzi..kuhusu jiji la dar kuangamia..mwezi wa tano
 
Back
Top Bottom