Grace glory
JF-Expert Member
- Feb 17, 2018
- 374
- 531
Acha mbwembwe thibitishia watu bnUmekaza fuvu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha mbwembwe thibitishia watu bnUmekaza fuvu
Umeambiwa ni ulimwengu usioonekana ila bado unakaza fuvu akuonyeshe ulipoUlimwengu usioonekana upo wapi ?
[emoji3578]
Tunafahamu vipi kama upo?Umeambiwa ni ulimwengu usioonekana ila bado unakaza fuvu akuonyeshe ulipo
Hilo ni suala la kiimani, huwezi kuuona kwa macho haya ya nyama, sasa wewe unataka akuonyeshe kwa macho yako ya nyama. Hapo ni kuamini au kutoamini basiTunafahamu vipi kama upo?
Natamani kukuuliza swali lakini huenda likawa la kipuuzi..kuhusu jiji la dar kuangamia..mwezi wa tanoUlimwengu wa Roho ni mzuri...
Unaona mengi yanayokuja, na yaliyopo.
Hapa kwa wenye Imani na YESU ndio huona na sio wote...
Isipokuwa wale waliochaguliwa kwa kusudi Fulani.
Mimi ni mmoja wao ambao naona, naona vingi sana mpaka kitaifa na kimataifa.