Ulimwengu wa Roho

Wewe nae kichwa panzi, nani kasema aamini uwepo wa Mungu ?
 
Uko sahihi.
 
Wewe unaeleweka,
Lakini mleta mda anaposema Ulimwengu wa roho ni sehemu ya kwenda kukutana na marafiki, familia mala vitu vizuri kama magari hapo ndipo matango pori yamejaa.
Nahisi ukuelewa mada, hayo ni mambo yanayotokea ndotoni, na ni jambo la kawaida kuota mambo kama hayo.
 
Mapepo ninini !? Na je Yana exist kweli !? Nini sababu ya uwepo wake " !? Sayansi Ina ongelea Nini kuhusu Hilo !?
 
Hacha kupotosha watu wewe
 
Mkuu kuna vitu unavijua sana kuhusu roho. Kama nakuelewa vile
 
Umenena kweli tupu. Ningependa kujifunza na kuongeza uelewa zaidi kupitia kwako.
 
Wewe unaeleweka,
Lakini mleta mda anaposema Ulimwengu wa roho ni sehemu ya kwenda kukutana na marafiki, familia mala vitu vizuri kama magari hapo ndipo matango pori yamejaa.
Mleta mada kuna kitu anacho kizuri lakini bado hajakielewa anatakiwa aweke bidii kujifunza zaidi. Kwa vile ana nia njema pia kusaidia wengine atakielewa vizuri.
 
Umenena kwa ufupi lakini ni sawa na mtu aloandika ujumbe ukurasa mzima wa A4.

Ni hakika na kweli kwa mtizamo wangu lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…