Ulimwengu wa Roho

Mapepo ninini !? Na je Yana exist kweli !? Nini sababu ya uwepo wake " !? Sayansi Ina ongelea Nini kuhusu Hilo !?
Mapepo wengine wanasema ,mashetani,majini ni lugha tu.(ila ni Yale yenye cheo cha chini cha mwisho sbb nao wana rank zao huko)
Efeso 6:10 ukisoma hapo utapata hizo rank!

Iakini ni roho chafu,zipo zina exist!
Wajumbe wa Lucifer ndo wako assigned na kazi tofauti tofauti za kuharibu ,kuua,kuchinja.. Nk

Biblia inasema Kwenye Yohana sikumbuki ni ngapi,ndo kazi ya Lucifer na wa sharika wake ,ni kuua,kuharibu ,kuchinja.

Sayansi haiwezi kuongelea mambo ya rohoni(vitu visivyoonekana)
 
Kwanini hii Dunia inaendeshwa kisiri siri sana?
Ukitaka kujua hizo siri Mungu yupo!
Yeremia 33:3
Wasiojua dunia inavyoendeshwa ni ambao hawataki kuamini kuwa msingi wa hivi vinavyoonekana duniani ni vile visivyoonekana!
Lkn wa gizani wanajua sn,wana wa nuru ambao walitakiwa kujua na kutawala hawataki ,ubishi mwingi kujifanya wajuaji!

Ila wapo wachache wa nuruni wanaolewa mambo yanavyokwenda!
 
Hakika, sayansi inashughulika na atom. Japo wanapofikia kwenye mitetemo na nguvu au vibration and energy kwa kizungu cha Uingereza hapo wanajaribu kupata muunganiko wa atom, nguvu na roho.

Naendelea kujifunza kupitia comment zenu. Asante.
 
Amen.
Huu ulimwengu unaoonekana unategemea sana ulimwengu usiionekana. Hata mwili wangu pia unategemea mimi nisiyeonekana kwa macho ya nyama. Tukijitambua ni jambo jema sana.

Watu wa giza wanajua na wanaitumia kwa manufaa hasi hii elimu. Unakuta mtu na Phd anapuuza manuizi au affirmation akidhani ni ushamba.

Inapendeza sana kuishi ktk roho.
 
Huamin katika Yesu unaamin katika fini yako.
Nadhani fini ulimanisha dini.

BTW sijakuteua kuwa msemaji wangu. Na kama umeandika hilo kwa hisia kuwa naamini katika din hilo ni juu yako.

Dini ni nini?
Ukielewa maana ya dini, utaelewa ninachomaanisha.

Mimi nasema naamini katika Kristo Yesu (Mungu) na sio dini na hauwezi kunipangia wala kunisemea.

Kila mtu anaamini anachoamini na imani ni state of mind. Wengine mizimu, miti, kuku, nk. Ni imani zao kwa wakati huo na hakuna wa kuwapangia wala kuwabeza kwani wamechagua. Siku wakipata ufahamu mwingine watabadili akili zao na kupokea imani mpya.
 
 

Sawa tunasubiri mkuu ila wewe huko astral umeshafika? je umepata mke huko manake kuna mtu namfahamu ana wapenzi huko astral anamwita mpenz wake wa ndotoni je unaweza kukutana na mtu huko astral na mkawa marafiki. Mimi binafsi sijawahi kujiingiza kwenye mambo ya astral kwa sababu najua ndio hatua ya kwanza ya kuwa mchawi embu nifafanulie hapo.
 

We dreams zinatokea pale mwanamke mchawi anapokupenda lakini hajui atakupata vipi. Kwaiyo akikupenda anakupa katika ulimwengu wa ndoto. Kama tendo lenyewe ulifurahia utapata bahati kesho yake kwenye mihangaiko yako kama uli bakwa na ukachukia hilo tendo ndotoni jua utapata nuksi na siku hyo usiende kazini.
 

Kama mtu akilala hapati ndoto jua ni empty soul ai soulless ikitokea mtu hajaota ni kwasababu ni mlevi sana au labda kanywa pombe nyingi sana mpaka kazima. Mtu aliye kamilika lazima afurahie ndoto.
 
Anayejibu hayo maombi yako ni Nani ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…