Ulimwengu wa Roho

Ulimwengu wa Roho

ULIMWENGU WA ROHO
Ni sehemu ambayo nafsi (soul's) mbili hukutana pamoja.

Ni kweli kwamba kila nafsi hurudi kwenye ulimwengu wa roho Ila dini imetufanya tufikirie zaidi kuhusu mbingu na peponi na hiyo nadharia ndiyo inayo tufanya tushindwe kufikiria kwamba kuna uwezekano mkubwa wa nafsi mbili kukutana sehemu moja, ambayo ni ulimwengu wa roho.

Katika kuielezea hii dhana nzima ya ulimwengu wa roho ntatumia maeneo kadhaa kama alivyo andika James Van Praaph kwenye kitabu chake cha "Adventures of the Soul" kama moja wapo ya ushahidi wa kisayansi unaozungumzia ulimwengu wa roho, ili uweze kuwa na uelewa mpana jinsi ulimwengu wa roho unavyofanya kazi.

WORLDS WITHIN WORLDS
Walimwengu ndani ya walimwengu, kila mtu aliwahi kusikia neno "walimwengu" na sio geni, bhasi katika materialism ulimwengu ndani ya ulimwengu ni udhibitisho kwamba kuna ulimwengu wa roho.
Ulimwengu wa roho "a place of Divine order" ni eneo ambalo nafsi uingia na kutoka muda wote. Mara nyingi nafsi uingia kwenye ulimwengu wa roho kupitia ndotono ambao uambatana na nishati, nafsi inapokuwa inaachana na mwili utetema na katika kutetema huko ufanya Ile code "silver code" iliyoshikilia nafsi na mwili kuachia , ndipo hapo uelekeo wa nafsi kwenye ulimwengu huweza kutambulika. Hapa ndipo tunasema quantum mechanics meets consciousness, katika kitabu chake hicho James Van Praaph ameandika" Some humans who made a conscious effort to use their free will to raise the energy of love on Earth will gravitate to the corresponding level in spirit, and those who lowered the energy Will gravitate to different level". Kwahiyo unaweza kuona jinsi gani quantum mechanics inakutana na ufahamu katika dhana nzima ya ulimwengu wa roho. Kuzimia na kupata fahamu tena, kuchukuliwa na mizimu, wachawi, majini na kurudishwa tena ni udhibitisho tosha kwamba kuna ulimwengu ndani ya ulimwengu.

THE ASTRAL WORLD
The astral world au astral plane ni sehemu ambayo nafsi uingia wakati inaporudi kwenye ulimwengu wa roho.
Ulimwengu huu tunaweza kuufananisha na kituo cha mapokezi, ambapo kila nafsi inakutana na familia, marafiki wa kipindi cha nyuma ambao nafsi hiyo iliwahi kuhusiana nao. Nafsi inapofika katika ulimwengu huu ukutana na vitu vizuri Sana na vyenye thamani Kama nyumba, magari, barabara,miji, mito, maji na bahari, bustani nzuri kama ilivyo kwenye ulimwengu wa dunia(physical world). Ulimwengu wa Astral utengenezwa kwa fikra (thoughts),na kila kitu uonekana kuwa cha mwanga na asili. Mara nyingi nafsi ufika katika ulimwengu huu wa roho kupitia kutoka nje ya mwili, meditation or astral projection practices. James Van Praaph ameandika hivi "Everything that has existed, exist now, or will exist is happening concurrently". Hapa mtu husimulia mambo mengi aliyokutana nayo alipokuwa kwenye ulimwengu wa Astral, utasikia mtu nimeona nyumba nzuri, au bustani nzuri n.k kwahiyo huyo mtu nafsi yake inakuwa imetoka kwenye huu ulimwengu.

THE ETHEREAL WORLD
Huu ni ulimwengu ambao nafsi uingia itokapo kwenye ulimwengu wa Astral. Ni ulimwengu wa fikra, nafsi ikifika hapa inakuwa kwenye ulimwengu wa fikra "Thought plane", ulimwengu huu utetema zaidi kuliko ulimwengu wa Astral, kwahiyo nafsi iliyopo katika ulimwengu huu, inakuwa na uwezo mkubwa sana wa fahamu "consciousness", hivyo fikra zenye mawazo chanya, nafsi yake inakuwa kwenye ulimwengu wa asili "Ethereal", ulimwengu huu una sifa ya kuwa na nafsi zenye pure mind and thoughts zilizojawa na upendo, ukweli wa hali ya juu , "It interacts with our mental selves and helps create abstract thoughts and acts as the doorway for higher levels of wisdom to come down and integrate with the lower aspects of our being" ameandika hivyo James Van Praaph.

Riwaya ya The Brief History of the Dead by Kevin Brockmeier, mwandishi anaonyesha kwamba katika Imani ya makabila ya kiafrika, watu wamegawanyika katika sehemu kuu tatu, humans- those still alive, sasha- the recently departed and zamani- the dead. Kwahiyo hakuna ukomo kwa kile nafsi inaweza kufanya, manifest au jinsi inavyoweza kugawa ufahamu wake. Kwahiyo nafsi haiendeshwi na mitazamo yetu ya nafasi au muda.

THE CELESTIAL REALM
Huu ni ulimwengu wa roho ambao nafsi inakuwa na uwezo mkubwa wa kiroho na Imani na mara zote nafsi zilizopo katika ulimwengu huu zimejitofautisha kabisa na nafsi nyingine zote. Ulimwengu huu ni ulimwengu wa roho wa malaika "Angelic Realm". Hapa ndipo zilipo nafsi za mitume na malaika wote zilipo, kwahiyo hata Jesus, Mohammed, and Buddha wapo katika ulimwengu huu na hakuna tena kutokuwepo na mbigu au hukumu katika ulimwengu huu. Nafsi zilizopo katika ulimwengu huu hazina uchoyo, ubinafsi, zinabariki na zina upendo safi. James Van Praaph ameandika hivi"The beings on the celestial realm realize, on some level, that they are one with spirit, and although they have reached the path to love, they are still evolving and are always willing to give help to all who ask". Kwahiyo nafsi zilizopo katika ulimwengu huu wa roho usikiliza na kubariki maombi ya watu bila ubaguzi wowote.
Nimesoma uzi wako kwa umakini, na ni uzi mzuri kadhalika. Ila ni na swali.

Nafsi ni nini ?
 
Nadhani bado hamjaelewa astal projections ni nini

Astral projection ni ile hali ya mtu kutengana na mwili wake kimawazo pili katika ulimwengu wa ndoto hakuna majinamizi kuna loho chafu Mara nyingi loho hizi chafu utaziona pale inapotokea vita kati ya malaika na hao loho wachafu vita hivi huwa ni vikubwa sana utakapo ona vita hiyo unatakiwa uondoke maana utakuwa na uwoga mwingi sana .utaweza kutarii katika sehemu mbalimbali ila katika vitu vyote mwanadamu ananguvu kubwa sana kuliko majini Ila mpaka kipindi utakapo jua kuzitumia kwa sababu astral sio kwenda kutarii tu kunakujifunza vitu vingi.kuhusu mtu kumwona marehem au mtu aliewahi kufa ni ngumu sana labda utumie meditation ili roho yake uiite nayo itakuja ila by using astral mpaka uwe mzoefu sana lasi hivyo hutoweza

.kuhusu swala la mtu kuja kukutikisa alafu ufe kwakweli haiwezekani labda uwe ndo siku uliyo pangiwa msiwe waoga nyie ndio wajenzi wa hii dunia ukifanikisha utajifahamu wewe ni nani na unatakiwa ufanye nini.kuhusu swala LA kufanya miujiza ni ngumu labda uwe unafanya meditation kwa kutumia astral inawezekana ila usizuru watu au kuzionyesha maana nguvu hizi ni kubwa sana hazina kiwango mfano kufaham mambo yanayokuja mbeleni kubwa na speed like the flash or sonic ,macho kuwa yanatoa mwanga, mikono kuwa na nguvu zisizo za kawaida, na kuwa na nguvu za kuelea angani,kupoterea (teleport), kuwa mbunifu,kuwa na uwezo wa kuponya jeraha na isibaki hata alama ndani ya sekunde moja ukiwa na nguvu majini wala wachawi hawata kusogerea nguvu ya mwisho kabisa ambayo hata ufight vipy kuipata tz ni kumfufua marehemu hii mungu anajua siri pekee hata maraika ukiwauliza watakwambia hii huruhusiwi kuifahamu maana itatumika vibaya kama baadhi ya wanadam wanaoitumia nguvu hiyo kwa kutumia majini sio jambo zuri kabisa maana kuna baadhi ya majini ambao mungu aliwapa nguvu za kuamsha wafu na hata baada ya kufukuzwa mbinguni waliachiwa nguvu hizo ingawa sio kwa kiwango kikubwa ni kwa kiwango kidogo sana na baadhi walinyang'anywa kabisa nitaendelea kuwajuza mengi zaidi ingawa kuna watu mnakata tamaa baada ya kuongopeshwa kwa maneno ya watu pia kuna wengi mlijalibu hamkufanikisha wengine mlijalibu mkahisi kiu mkameza mate kuna baadhi uzalendo uliwashinda mkajigeuza ASANTENI SANA TUTAKUTANA KWA AJIRI YA MAFUNZO ZAID
Mkuu nahitaji kua na uwezo wa kutambua yajayo mbele au kua na nguvu ya uponyaji. Ni hatua zipi nifate?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Jitahisi kufanya meditation ndani ya astral projection utapata nguvu yoyote utakayo ihitaji ila kwa juhudi zako tu
 
Attachments

  • FB_IMG_16165291656910862.jpg
    FB_IMG_16165291656910862.jpg
    5.6 KB · Views: 38
  • FB_IMG_16151457175855688.jpg
    FB_IMG_16151457175855688.jpg
    22.1 KB · Views: 36
  • FB_IMG_16161818991305458.jpg
    FB_IMG_16161818991305458.jpg
    26.7 KB · Views: 32
  • FB_IMG_16165294347466064.jpg
    FB_IMG_16165294347466064.jpg
    9.6 KB · Views: 37
Mkuu nahitaji kua na uwezo wa kutambua yajayo mbele au kua na nguvu ya uponyaji. Ni hatua zipi nifate?

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Jitahisi kufanya meditation ndani ya astral projection utapata nguvu yoyote utakayo ihitaji ila kwa juhudi zako tu
Attachments
FB_IMG_16165291656910862.jpg
File size36.6 KB
Views0
FB_IMG_16151457175855688.jpg
File size139.8 KB
Views0
FB_IMG_16161818991305458.jpg
File size180.3 KB
Views0
FB_IMG_16165294347466064.jpg
 
Kuna Ulimwengu wa roho(usionekana) na ulimwengu wa mwili(yaani huu utunaoishi,unao onekana)!

Ulimwengu wa roho ndo msingi wa haya unayoyaona,kwa kifupi ni ulimwengu mama!

Kila unachokiona kwenye ulimwengu wa mwili lzm kianzie kwenye ulimwengu wa roho kwanza,kwa kifupi,mwilini ni matokeo tu,ya kile cha rohoni!

Ulimwengu wa roho ni halisi zaidi ya ulimwengu wa mwili!kwa sbb kila unachokiona lzm kianzie huko kwanza mwilini ni matokea tu.

Watu wa Giza wanajua sn haya kuliko wengine!
Sijui km utakuwa umepata kitu!
Wewe unaeleweka,
Lakini mleta mda anaposema Ulimwengu wa roho ni sehemu ya kwenda kukutana na marafiki, familia mala vitu vizuri kama magari hapo ndipo matango pori yamejaa.
 
Hebu elezea hayo maneno kwa kiswali tuelewe, mimi nianze kuchota hizo nguvu fasta
 
Attachments

  • FB_IMG_16165387129891507.jpg
    FB_IMG_16165387129891507.jpg
    37.3 KB · Views: 35
  • FB_IMG_16165291656910862.jpg
    FB_IMG_16165291656910862.jpg
    5.6 KB · Views: 35
  • FB_IMG_16161818991305458.jpg
    FB_IMG_16161818991305458.jpg
    26.7 KB · Views: 27
  • FB_IMG_16161810841082184.jpg
    FB_IMG_16161810841082184.jpg
    20 KB · Views: 25
  • FB_IMG_16151457175855688.jpg
    FB_IMG_16151457175855688.jpg
    22.1 KB · Views: 23
  • FB_IMG_16151457175855688.jpg
    FB_IMG_16151457175855688.jpg
    22.1 KB · Views: 27
Binafsi huwa nafurahia na napenda sana matukio ya ndotoni kuliko maisha halisi. Nafurahi sana ukifika muda wa kulala maana ndio naelekea kuishi!
Na ikitokea siku nimeota 'wet dream' huwa najiona mwenye hatia kuliko! Yaani siku nzima nashinda sina raha.
Lakini nimegundua nikisali kabla ya kulala, 'wet dreams' zinapotea na ninarejea kwenye zile ndoto zenye mafumbo/maono ambayo kuzitafsiri inakua mtihani.
Kiujumla maisha ya ndotoni yako poa sana kuliko hali halisi.
That is my perspective.
What a coincidence !!!! Hauwezi kuamini leo mishale ya saa 5 asubuhi nilikuwa na waza kama hivi ulivyo waza wewe yaani umepita kule kule '

Nilikuwa nasema kifo ni kitu kizuri sio kitu kibaya Kama tunavyo aminishwa na kukarilishwa kwa sababu gani Kifo jinsi kilivyo Ni Kama Aina fulani hivi ya usingizi

Je tuulizane hapa wote kwa pamoja Kuna asiye penda usingizi !! Sidhani Kama yupo kwa sababu katika usingizi tunapokuwa tumelala huwa tunaota ndoto mbali mbali zinatovutia katika usingizi huo na Kuna Wakati huwa hatutamani Hata kuamka huwa tuna tamani Tuendelee kulala tu ili tuweze kufurahia hizo njozi na ule utamu wa usingizi binafsi' na amini Maisha halisi tunayoishi Ni pale Tunapokuwa tumelala
 
Kuna Ulimwengu wa roho(usionekana) na ulimwengu wa mwili(yaani huu utunaoishi,unao onekana)!

Ulimwengu wa roho ndo msingi wa haya unayoyaona,kwa kifupi ni ulimwengu mama!

Kila unachokiona kwenye ulimwengu wa mwili lzm kianzie kwenye ulimwengu wa roho kwanza,kwa kifupi,mwilini ni matokeo tu,ya kile cha rohoni!

Ulimwengu wa roho ni halisi zaidi ya ulimwengu wa mwili!kwa sbb kila unachokiona lzm kianzie huko kwanza mwilini ni matokea tu.

Watu wa Giza wanajua sn haya kuliko wengine!
Sijui km utakuwa umepata kitu!
Aisee [emoji848]
 
Wewe unaeleweka,
Lakini mleta mda anaposema Ulimwengu wa roho ni sehemu ya kwenda kukutana na marafiki, familia mala vitu vizuri kama magari hapo ndipo matango pori yamejaa.
Matango pori kivipi au hauja muelewa mkuu !? Kwani katika maisha yako haujawahi kulala nakuota ukiwa unaendesha gari !?
 
What a coincidence !!!! Hauwezi kuamini leo mishale ya saa 5 asubuhi nilikuwa na waza kama hivi ulivyo waza wewe yaani umepita kule kule '

Nilikuwa nasema kifo ni kitu kizuri sio kitu kibaya Kama tunavyo aminishwa na kukarilishwa kwa sababu gani Kifo jinsi kilivyo Ni Kama Aina fulani hivi ya usingizi

Je tuulizane hapa wote kwa pamoja Kuna asiye penda usingizi !! Sidhani Kama yupo kwa sababu katika usingizi tunapokuwa tumelala huwa tunaota ndoto mbali mbali zinatovutia katika usingizi huo na Kuna Wakati huwa hatutamani Hata kuamka huwa tuna tamani Tuendelee kulala tu ili tuweze kufurahia hizo njozi na ule utamu wa usingizi binafsi' na amini Maisha halisi tunayoishi Ni pale Tunapokuwa tumelala
Kweli aisee..roho ikiwa hai ni jambo jema sana, pia ukiwa kule hakuna 'limit' tofauti na huku ulimwengu wa mwili.
Bahati mbaya ukifa kila kitu kinasimama hadi mawazo. Nadhani ndio maana M'Mungu anatuambia tuchague kuishi, tena akatoa na 'bonus' ya kuishi milele!
 
ULIMWENGU WA ROHO
Ni sehemu ambayo nafsi (soul's) mbili hukutana pamoja.

Ni kweli kwamba kila nafsi hurudi kwenye ulimwengu wa roho Ila dini imetufanya tufikirie zaidi kuhusu mbingu na peponi na hiyo nadharia ndiyo inayo tufanya tushindwe kufikiria kwamba kuna uwezekano mkubwa wa nafsi mbili kukutana sehemu moja, ambayo ni ulimwengu wa roho.

Katika kuielezea hii dhana nzima ya ulimwengu wa roho ntatumia maeneo kadhaa kama alivyo andika James Van Praaph kwenye kitabu chake cha "Adventures of the Soul" kama moja wapo ya ushahidi wa kisayansi unaozungumzia ulimwengu wa roho, ili uweze kuwa na uelewa mpana jinsi ulimwengu wa roho unavyofanya kazi.

WORLDS WITHIN WORLDS
Walimwengu ndani ya walimwengu, kila mtu aliwahi kusikia neno "walimwengu" na sio geni, bhasi katika materialism ulimwengu ndani ya ulimwengu ni udhibitisho kwamba kuna ulimwengu wa roho.
Ulimwengu wa roho "a place of Divine order" ni eneo ambalo nafsi uingia na kutoka muda wote. Mara nyingi nafsi uingia kwenye ulimwengu wa roho kupitia ndotono ambao uambatana na nishati, nafsi inapokuwa inaachana na mwili utetema na katika kutetema huko ufanya Ile code "silver code" iliyoshikilia nafsi na mwili kuachia , ndipo hapo uelekeo wa nafsi kwenye ulimwengu huweza kutambulika. Hapa ndipo tunasema quantum mechanics meets consciousness, katika kitabu chake hicho James Van Praaph ameandika" Some humans who made a conscious effort to use their free will to raise the energy of love on Earth will gravitate to the corresponding level in spirit, and those who lowered the energy Will gravitate to different level". Kwahiyo unaweza kuona jinsi gani quantum mechanics inakutana na ufahamu katika dhana nzima ya ulimwengu wa roho. Kuzimia na kupata fahamu tena, kuchukuliwa na mizimu, wachawi, majini na kurudishwa tena ni udhibitisho tosha kwamba kuna ulimwengu ndani ya ulimwengu.

THE ASTRAL WORLD
The astral world au astral plane ni sehemu ambayo nafsi uingia wakati inaporudi kwenye ulimwengu wa roho.
Ulimwengu huu tunaweza kuufananisha na kituo cha mapokezi, ambapo kila nafsi inakutana na familia, marafiki wa kipindi cha nyuma ambao nafsi hiyo iliwahi kuhusiana nao. Nafsi inapofika katika ulimwengu huu ukutana na vitu vizuri Sana na vyenye thamani Kama nyumba, magari, barabara,miji, mito, maji na bahari, bustani nzuri kama ilivyo kwenye ulimwengu wa dunia(physical world). Ulimwengu wa Astral utengenezwa kwa fikra (thoughts),na kila kitu uonekana kuwa cha mwanga na asili. Mara nyingi nafsi ufika katika ulimwengu huu wa roho kupitia kutoka nje ya mwili, meditation or astral projection practices. James Van Praaph ameandika hivi "Everything that has existed, exist now, or will exist is happening concurrently". Hapa mtu husimulia mambo mengi aliyokutana nayo alipokuwa kwenye ulimwengu wa Astral, utasikia mtu nimeona nyumba nzuri, au bustani nzuri n.k kwahiyo huyo mtu nafsi yake inakuwa imetoka kwenye huu ulimwengu.

THE ETHEREAL WORLD
Huu ni ulimwengu ambao nafsi uingia itokapo kwenye ulimwengu wa Astral. Ni ulimwengu wa fikra, nafsi ikifika hapa inakuwa kwenye ulimwengu wa fikra "Thought plane", ulimwengu huu utetema zaidi kuliko ulimwengu wa Astral, kwahiyo nafsi iliyopo katika ulimwengu huu, inakuwa na uwezo mkubwa sana wa fahamu "consciousness", hivyo fikra zenye mawazo chanya, nafsi yake inakuwa kwenye ulimwengu wa asili "Ethereal", ulimwengu huu una sifa ya kuwa na nafsi zenye pure mind and thoughts zilizojawa na upendo, ukweli wa hali ya juu , "It interacts with our mental selves and helps create abstract thoughts and acts as the doorway for higher levels of wisdom to come down and integrate with the lower aspects of our being" ameandika hivyo James Van Praaph.

Riwaya ya The Brief History of the Dead by Kevin Brockmeier, mwandishi anaonyesha kwamba katika Imani ya makabila ya kiafrika, watu wamegawanyika katika sehemu kuu tatu, humans- those still alive, sasha- the recently departed and zamani- the dead. Kwahiyo hakuna ukomo kwa kile nafsi inaweza kufanya, manifest au jinsi inavyoweza kugawa ufahamu wake. Kwahiyo nafsi haiendeshwi na mitazamo yetu ya nafasi au muda.

THE CELESTIAL REALM
Huu ni ulimwengu wa roho ambao nafsi inakuwa na uwezo mkubwa wa kiroho na Imani na mara zote nafsi zilizopo katika ulimwengu huu zimejitofautisha kabisa na nafsi nyingine zote. Ulimwengu huu ni ulimwengu wa roho wa malaika "Angelic Realm". Hapa ndipo zilipo nafsi za mitume na malaika wote zilipo, kwahiyo hata Jesus, Mohammed, and Buddha wapo katika ulimwengu huu na hakuna tena kutokuwepo na mbigu au hukumu katika ulimwengu huu. Nafsi zilizopo katika ulimwengu huu hazina uchoyo, ubinafsi, zinabariki na zina upendo safi. James Van Praaph ameandika hivi"The beings on the celestial realm realize, on some level, that they are one with spirit, and although they have reached the path to love, they are still evolving and are always willing to give help to all who ask". Kwahiyo nafsi zilizopo katika ulimwengu huu wa roho usikiliza na kubariki maombi ya watu bila ubaguzi wowote.
Yaan Yesu akae sehem moja na Muhamad!! Kuwa serious bas jombaa.
 
Sijawahi kuelewa hili somo, kuna muda naona kama mathe vile esp kwenye zile topic za kikoloni, lakin huwa somtimes ni kisoma namalizia kwa kusema huenda mwandishi ni mvuta bangi au anamatatizo yakiakili....

Kiukweli kabisa...akili imekataaa...
Labda utafiti ufanyike zaidi.
 
Ungetoa muongozo wa maelezo yanayo jitosheleza jinsi ya kufanya ingekuwa vyema zaidi hizi picha zimekaa kimafumbo Sana Ni vigumu kwa watu wengine kuweza kuelewa

Sijawahi kuelewa hili somo, kuna muda naona kama mathe vile esp kwenye zile topic za kikoloni, lakin huwa somtimes ni kisoma namalizia kwa kusema huenda mwandishi ni mvuta bangi au anamatatizo yakiakili....

Kiukweli kabisa...akili imekataaa...
Labda utafiti ufanyike zaidi.
Ukiona hivo ujue hata yeye hajui
Uwezo wake ndo umeishia hapo.

Nguvu za kiroho zinafundishwa kwenye Biblia au Vitabu vya kichawi tu.

Ukitumia sayansi utachonga viazi.
 
Hahah du bora ungesema hivyo umefanya astral projection kuliko unaongea vitu visivyokuwepo kabisa bora ukaamin mungu yupo uende usimkute kuliko usiamin uende umkute bc hili somo sitalitoa tena nitalitoa kwa watu maaluma ambao nimeanzanao nadhani mnafikiri nawapotosha kaeni hivyo hivyo
 
  • FB_IMG_16166980809721540.jpg
    FB_IMG_16166980809721540.jpg
    21.9 KB · Views: 37
Mi sijaelewa hizi aina zimetokea kutokana na aina za watu duniani au tukio la kufa likiwa kama senta ya kujua huo ulimwengu na aina zake!?? Mbona hujachambua huko wanaokufa huwepo kupoje na kwa ushahidi upi w pruv!?
 
Back
Top Bottom