Ulinzi Condoms: Jeshi la Uganda lazindua kondomu za kutumiwa na wanajeshi

Asilimia kubwa ya wanajeshi na ndugu zangu madereva wa malori ni malaya kishenzi (wazee wakujiachia kwenye miti mikavu) . Yaani kama una dem ambaye hizi kada mbili zimepita, usipige kavu au bora mkapime.
 
Sio kweli hayo ni mambo ya kawaida majeshini sio ukimwi tuu unaangaliwa kumbuka kuna mimba kisonono kaswende na gonoria mbona mimi nakumbuka hata kwetu kuna kipindi niko kruta tulikuwa tunazikuta umewekewa kitandani bila hata kijua nani kaweka au ukienda hospital zimening'inizwa ukutani unajibebia tuu.
Ukiona ivo wanajeshi wa Uganda ndo waathirika wakuu na huo mradi
 
Sio kweli hayo ni mambo ya kawaida majeshini sio ukimwi tuu unaangaliwa kumbuka kuna mimba kisonono kaswende na gonoria mbona mimi nakumbuka hata kwetu kuna kipindi niko kruta tulikuwa tunazikuta umewekewa kitandani bila hata kijua nani kaweka au ukienda hospital zimening'inizwa ukutani unajibebia tuu.
Kisonono,gonoria!Haya ni magonjwa tofauti?
 
Asante kwa ushauri

Back
Top Bottom