Elections 2010 Ulinzi kwa Dr.Slaa na wagombea wengine

Elections 2010 Ulinzi kwa Dr.Slaa na wagombea wengine

vassil

Senior Member
Joined
Apr 13, 2008
Posts
122
Reaction score
15
wanajamii naomba kuuliza je Serikali ya Tanzania inawapa ulinzi wa aina gani wagombea wa kiti cha uraisi.Kama tulivyoona wakati wa uchaguzi wa Marekani obama,clinton,mccain walipewa secret service protection mpaka mshindi alipopatikana.Sijui Dr Slaa atakuwa amejibanza wapi wakati matokeo yakitangazwa nategemea secret service wawe karibu kama atatangazwa president-elect
 
Mpaka sasa wakuu wa usalama wa viongozi wanaamini kikwete ataendelea kusongesha hata kama nchi nzima ikimkataa.
ni ndoto kuamini kuwa watakuwa jirani na slaa. Ingawa ni hao hao watakaomlinda maana wao wanafanya kazi na taasisi na sio mtu ndo maana wale waliopandikizwa wanaipa shida sana idara ya ulinzi wa viongozi
 
Back
Top Bottom