wanajamii naomba kuuliza je Serikali ya Tanzania inawapa ulinzi wa aina gani wagombea wa kiti cha uraisi.Kama tulivyoona wakati wa uchaguzi wa Marekani obama,clinton,mccain walipewa secret service protection mpaka mshindi alipopatikana.Sijui Dr Slaa atakuwa amejibanza wapi wakati matokeo yakitangazwa nategemea secret service wawe karibu kama atatangazwa president-elect