Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Kadri upepo uvyozidi kuvuma ndivyo nyeti za kuku zinavyozidi kubaki wazi...Tetesi: Ulinzi mkali wa polisi umewekwa kwenye makaburi ya kondo huku macho ya watanzania na dunia yapo pale.
Hakuna cha kuficha hata wakizima mitandao,
Je, #D9 watanzania tutaenda kuyachimbua tukiona mambo hayaeleweki, sasa watachagua walinde ikulu au walinde makaburi.
Acha ramli chonganishi Mimi naishi huku na hakuna kitu kama hicho ndo maana hata CNN hawajathibitisha ni uvumi Tu kama wa kiwanda cha wazoTetesi: Ulinzi mkali wa polisi umewekwa kwenye makaburi ya kondo huku macho ya watanzania na dunia yapo pale.
Hakuna cha kuficha hata wakizima mitandao,
Je, #D9 watanzania tutaenda kuyachimbua tukiona mambo hayaeleweki, sasa watachagua walinde ikulu au walinde makaburi.
Ndio watakuwa wazidisha motoMkifukua tu kuna video zitachukuliwa na kutumwa kwa Madowo kazi mnayo😄
Kwamba upo makaburini hapo ?Acha ramli chonganishi Mimi naishi huku na hakuna kitu kama hicho ndo maana hata CNN hawajathibitisha ni uvumi Tu kama wa kiwanda cha wazo
Wew unaishi kila sehemuAcha ramli chonganishi Mimi naishi huku na hakuna kitu kama hicho ndo maana hata CNN hawajathibitisha ni uvumi Tu kama wa kiwanda cha wazo
Wewe kima nini? Mimi naishi karibu kabisa na maeneo haya .hakuna heka heka hizo unazozisema ....Kwamba upo makaburini hapo ?
Unaishi mtaa gani hapo?Wewe kima nini? Mimi naishi karibu kabisa na maeneo haya .hakuna heka heka hizo unazozisema ....
Tetesi: Ulinzi mkali wa polisi umewekwa kwenye makaburi ya kondo huku macho ya watanzania na dunia yapo pale.
Hakuna cha kuficha hata wakizima mitandao,
Je, #D9 watanzania tutaenda kuyachimbua tukiona mambo hayaeleweki, sasa watachagua walinde ikulu au walinde makaburi.
Kama walipata ujasiri wa kuua hadharani kwa kigezo kwaba waliwaua wahuni, kinachowatisha sasa ni nini. Ni ngumu sana kuficha miili ya watu zaidi ya 1000 kwa wakati mmoja.
Unataka uje na Gen z wenzako mchome Vanguard yangu?🤣 Okey nakaa madaleUnaishi mtaa gani hapo?
Ili kuthibitisha CNN ni waongo waruhusu pafukuliwe hapo mbona simple tuUnataka uje na Gen z wenzako mchome Vanguard yangu?🤣 Okey nakaa madale