Satellite ipo ishachukua picha za kutosha
Probably mlirro huyu😂Kwamba upo makaburini hapo ?
Tulale kipenzi tushazeekaWahuni safari hii kazi mnayo.
Kwani imekuaje? Wewe umekua tofauti ghafla. Wewe sio ulikua chawa wa Samuya humu?QmmmmmmmmmQe.
Watanzania amkeni, hakuna wa kuwakomboa.
msitegemee ICC, CNN wala nini.
Jikomboeni
andishi tutawaona wana akili sio kwa sababu walivyo, bali kwa sababu ya sehemu waliopo.Hii taka taka zamani ilikua ina akili ila toka iungane nao limekua *****View attachment 3505517
Kila mtu azingatie post no. 10Tetesi: Ulinzi mkali wa polisi umewekwa kwenye makaburi ya kondo huku macho ya watanzania na dunia yapo pale.
Hakuna cha kuficha hata wakizima mitandao,
Je, #D9 watanzania tutaenda kuyachimbua tukiona mambo hayaeleweki, sasa watachagua walinde ikulu au walinde makaburi.
9D tutaenda kuhakikishaTetesi: Ulinzi mkali wa polisi umewekwa kwenye makaburi ya kondo huku macho ya watanzania na dunia yapo pale.
Hakuna cha kuficha hata wakizima mitandao,
Je, #D9 watanzania tutaenda kuyachimbua tukiona mambo hayaeleweki, sasa watachagua walinde ikulu au walinde makaburi.