Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
- Thread starter
-
- #21
Wewe unafikiri hii shtuma ilivyokubwa ya mauwaji ya halaiki hilo eneo la makaburi lisiwe na polisi mpka hivi sasa au wewe ni mpumbavuUnataka uje na Gen z wenzako mchome Vanguard yangu?🤣 Okey nakaa madale
uzuri ni kwamba dunia inaangalia eneo hilo
Tumeelekeza camera za satelite Kondo, kazi wanayoMkifukua tu kuna video zitachukuliwa na kutumwa kwa Madowo kazi mnayo😄
Una uhakika walichoongea CNN ni kweli ? Maana huku nimepita sijaona chochoteWewe unafikiri hii shtuma ilivyokubwa ya mauwaji ya halaiki hilo eneo la makaburi lisiwe na polisi mpka hivi sasa au wewe ni mpumbavu
Satellite safari hii itaonyesha Makamanda wakilinda (wakifukua) makaburi ya halaikiTetesi: Ulinzi mkali wa polisi umewekwa kwenye makaburi ya kondo huku macho ya watanzania na dunia yapo pale.
Hakuna cha kuficha hata wakizima mitandao,
Je, #D9 watanzania tutaenda kuyachimbua tukiona mambo hayaeleweki, sasa watachagua walinde ikulu au walinde makaburi.
wewe nimesha kuelewa tusionge sanaUna uhakika walichoongea CNN ni kweli ? Maana huku nimepita sijaona chochote
Ikekuwaje tena? Wewe si ulikuwa mpiga zumari wa Samia?QmmmmmmmmmQe.
Watanzania amkeni, hakuna wa kuwakomboa.
msitegemee ICC, CNN wala nini.
Jikomboeni
Ok boss! Umeelewa kwamba akili zangu hajanishikia Mange Kimambi au Rachel Dangwa au siyowewe nimesha kuelewa tusionge sana
We nae una vanguard? Choka mbaya mbovuUnataka uje na Gen z wenzako mchome Vanguard yangu?🤣 Okey nakaa madale
Tofauti yako na kinyesi ni joto tuu.Ok boss! Umeelewa kwamba akili zangu hajanishikia Mange Kimambi au Rachel Dangwa au siyo
Weka kapicha mkuu
Hakuna drones huko? Zisaidie ku zoom mchakato yote?
Sawa hamna shida, kwani kuna shida gani watu wakija kujiridhisha?Wewe kima nini? Mimi naishi karibu kabisa na maeneo haya .hakuna heka heka hizo unazozisema ....
Kuna namna tu mambo yatabumbuluka hata wafuche vipi. Ukute wakuu wote wa vyombo wapo kwenye tinted wanafuatilia mambo hapo.Hivi kwanini wasiruhusu makaburi yafukuliwe kama hawajafukia hapo?