Tetesi: Ulinzi mkali wa polisi umewekwa kwenye makaburi ya kondo huku macho ya watanzania na dunia yapo pale

Nilijua tu wanasubiri saa za usiku wahamishe sijui watawapeleka wapi au watapiga fire daah, satellite ipo tunasubiri tu
 
Kila mtu azingatie post no. 10
 
Laiti kama wangekuwa na Juhudi kwenye maendeleo na ku manage rasilimali za nchi kama walivyo na Juhudi kwenye Upumbavu na Uzwazwa basi na HAKIKA nchi ingekuwa mbali
 
9D tutaenda kuhakikisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…