Habari hii ina ushabiki wa hali ya juu sana, Watanzania acheni kuweka mbegu mbaya zisizokuwa na ulazima!
Ni upuuzi wa hali ya juu kusema serikali imeruhusu ku-shoot...[/QUOTE]
Mkuu kasheshe naungana na wewe moja kwa moja, hapa uwanjani kuna watu wanaamua tu kuongea mambo ambayo wanaona inawapendeza wao kuzungumza namna hiyo, ila kwa taarifa ambazo ninazo ni kwamba chuo kiko shwari kabisa na hakuna rabsha rabsha ya aina yoyote ile zaidi zaidi ya hao viongozi wanaojiita wa DARUSO while mkuu wao wa chuo amewatangazia kuwa hakuna daruso mpaka watakapofanya uchaguzi upya sasa wao walienda wamevalia nguo nyeusi na wengine kuvaa vitambaa vyeusi kichwani sasa hao walipoonekana tu hapo getini wakabebwa na maaskari waliokuwa doria pia magari ya FFU wamepandisha bendera nyekundu na hii huwa ni kushiria hali ya hatari na wapo kukabiliana na vurugu kwa namna yoyote ile.
Swali je Hali ya hatari haipo?
Je watoto wa maskini wasio na mbele wala nyuma ( na walio someshwa na serikali hata kabla shule za secondary kwa sifa) wataruhusiwa kuingia wakasome tena wamalize masomo yao waendelee na ujenzi wa taifa;
Mtoto qa maskini Tanzania ni kama mtu mwenye ukoma enzi za unyanyapaa ( walitengwa).
Naona hata humu huu uchungu wengine hamuuoni; mna roho zisizojali maisha ya wenzenu; msioangalia tutokako na tuendako; Mstakabali wa taifa; Kama Kenya ni mara 2 ya wanafunzi wetu chuoni ; je serikali imefanya chochote au kukataa EAC ndio solution a yao? mmH mie nawaonea uchungu hawa; may be kwa kuwa pia nilikuwa ktk list hiyo; bahati nzuri tu hatukuwa na sera ya kuchangai enzi hizo