Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Watanzania wanaishi kwa amani na utulivu sana, ukilinganisha na nchi nyingine yoyote Afrika Mashariki.
Shughuli za kiuchumi mathalani utalii, biashara, uwekezaji katika sekta mbalimbali, viwanda, kilimo, uvuvi, usafirishaji na shughuli nyingine mbalimbali binafsi za waTanzania, zinafanyika katika utulivu na amani ya uhakika sana.
Ulinzi wa watu, mali zao na mipaka ya pande zote za nchi, ni wa uhakika na imara sana na hiki ndicho chanzo cha kudumu cha furaha na utangamano miongoni mwa Watanzania.
Asante sana Serikali ya awamu ya sita kwa hili, shukrani za kipekee sana kwa rais, Dr.Samia Suluhu Hassani. hakuna neno kwako juu ya amani ya Tanzania.
Kwa unyenyekevu mkubwa, hekima na busara, na bila mihemko, ghadhabu wala chuki...
Unarate uimara wa amani ya Tanzania katika kiwango gani kati ya 10% - 90% ya ufanisi wa kuichochea katika awamu hii ya sita?
Mungu Ibariki Tanzania.