Ulinzi na Usalama wa Tanzania ni imara, wa uhakika na wa kuaminika

Ulinzi na Usalama wa Tanzania ni imara, wa uhakika na wa kuaminika

Haya, kaa usubiri ujira wako mkuu.
ujira wa chama na serikali sikivu ya CCM ni kuhakikisha licha ya kwamba kuna mihemko ya hapa na pale lakini mnahemka katika mazingira yenye ulinzi wa uhakika na Amani ya kudumu 🐒

Kwan kuna ubaya wowote gentleman 🐒
 
Siku wakikutanua kipenyo. Chako hiko utajua usalama wa kinyeo chako
nadhan muhimu kinachofanyika ni kuhakikisha kwamba mihemko na ghadhabu zako unazifanya ukiwa na amani,

hata ukiwa unafanya mazoezi ya kuanza kuporomosha matusi lazma uwe kwenye mazingira ya aman, hilo ni muhimu zaidi 🐒
 
nadhan muhimu kinachofanyika ni kuhakikisha kwamba mihemko na ghadhabu zako unazifanya ukiwa na amani,

hata ukiwa unafanya mazoezi ya kuanza kuporomosha matusi lazma uwe kwenye mazingira ya aman, hilo ni muhimu zaidi 🐒
Alafu we jamaa hivi unajiona hupo usalama hii nchi kupitia ccm.
 
Alafu we jamaa hivi unajiona hupo usalama hii nchi kupitia ccm.
wananchi na waTanzania katika umoja na mshikamano wao kwa ujumla, tupo salama sana tena kwa uhakika zaidi ya mahali pengine popote Africa Mashariki 🐒

serikali sikivu ya CCM, chini ya Rais Dr.Samia Suluhu Hassan inalilisimamia hilo kwa nguvu zote na ndio maana hakuna kitisho cha aina yoyote kutoka popote cha kuhatarisha usalama na amani ya waTanzania 🐒
 
Watanzania wanaishi kwa amani na utulivu sana, ukilinganisha na nchi nyingine yoyote Afrika Mashariki.

Shughuli za kiuchumi mathalani utalii, biashara, uwekezaji katika sekta mbalimbali, viwanda, kilimo, uvuvi, usafirishaji na shughuli nyingine mbalimbali binafsi za waTanzania, zinafanyika katika utulivu na amani ya uhakika sana.

Ulinzi wa watu, mali zao na mipaka ya pande zote za nchi, ni wa uhakika na imara sana na hiki ndicho chanzo cha kudumu cha furaha na utangamano miongoni mwa Watanzania.

Asante sana Serikali ya awamu ya sita kwa hili, shukrani za kipekee sana kwa rais, Dr.Samia Suluhu Hassani. hakuna neno kwako juu ya amani ya Tanzania.

Kwa unyenyekevu mkubwa, hekima na busara, na bila mihemko, ghadhabu wala chuki...

Unarate uimara wa amani ya Tanzania katika kiwango gani kati ya 10% - 90% ya ufanisi wa kuichochea katika awamu hii ya sita?

Mungu Ibariki Tanzania.
Mifimifi tu 🚽🚽🚽
 
kupima kiwango cha maadui itatagemea vita ulizopigana 🐒

mfano Tz tulikua na maadui wa3 wakati tukipata uhuru ambao ni,
umaskini , ujinga na maradhi...

tumevipiga vita hivi kwa uzuri sana na kuvishinda kwa kishindo sana, na ndio maana tunaweza kuzungumza kwa amani kitechnlologia kama hivi 🐒
Wote hao watatu wapo Sana na Sasa wana wajukuu zao kina Uoga na unafiki.

Uwepo was serikali ni kuthibitisha Uharif mkuu umetuzunguka.
 
Back
Top Bottom