Acha ufala.Watanzania wanaishi kwa amani na utulivu sana, ukilinganisha na nchi nyingine yoyote Afrika Mashariki.
Shughuli za kiuchumi mathalani utalii, biashara, uwekezaji katika sekta mbalimbali, viwanda, kilimo, uvuvi, usafirishaji na shughuli nyingine mbalimbali binafsi za waTanzania, zinafanyika katika utulivu na amani ya uhakika sana.
Ulinzi wa watu, mali zao na mipaka ya pande zote za nchi, ni wa uhakika na imara sana na hiki ndicho chanzo cha kudumu cha furaha na utangamano miongoni mwa Watanzania.
Asante sana Serikali ya awamu ya sita kwa hili, shukrani za kipekee sana kwa rais, Dr.Samia Suluhu Hassani. hakuna neno kwako juu ya amani ya Tanzania.
Kwa unyenyekevu mkubwa, hekima na busara, na bila mihemko, ghadhabu wala chuki...
Unarate uimara wa amani ya Tanzania katika kiwango gani kati ya 10% - 90% ya ufanisi wa kuichochea katika awamu hii ya sita?
Mungu Ibariki Tanzania.
Hivi maadui wengi wa nchi na wanachi wanatoka nje ya mipaka kuliko walio ndani ya mipaka ?Ulinzi wa watu, mali zao na mipaka ya pande zote za nchi, ni wa uhakika na imara sana na hiki ndicho chanzo cha kudumu cha furaha na utangamano miongoni mwa Watanzania.
Kwani fisi wa madoa doa wametafuna wangapiπ«Watanzania wanaishi kwa amani na utulivu sana, ukilinganisha na nchi nyingine yoyote Afrika Mashariki.
Shughuli za kiuchumi mathalani utalii, biashara, uwekezaji katika sekta mbalimbali, viwanda, kilimo, uvuvi, usafirishaji na shughuli nyingine mbalimbali binafsi za waTanzania, zinafanyika katika utulivu na amani ya uhakika sana.
Ulinzi wa watu, mali zao na mipaka ya pande zote za nchi, ni wa uhakika na imara sana na hiki ndicho chanzo cha kudumu cha furaha na utangamano miongoni mwa Watanzania.
Asante sana Serikali ya awamu ya sita kwa hili, shukrani za kipekee sana kwa rais, Dr.Samia Suluhu Hassani. hakuna neno kwako juu ya amani ya Tanzania.
Kwa unyenyekevu mkubwa, hekima na busara, na bila mihemko, ghadhabu wala chuki...
Unarate uimara wa amani ya Tanzania katika kiwango gani kati ya 10% - 90% ya ufanisi wa kuichochea katika awamu hii ya sita?
Mungu Ibariki Tanzania.
Hii nchi kuna amani utulivu na usalama hadi mazingira ya kujamba yamehakishiwa amani na furaha ni mwendo wa kujamba tu mbrrr mbrrrr mbrr nakujaza atmosphere yote na uhondo wa ushuz yani ni mbrrr mbrrrr mbrr za kutosha.Watanzania wanaishi kwa amani na utulivu sana, ukilinganisha na nchi nyingine yoyote Afrika Mashariki.
Shughuli za kiuchumi mathalani utalii, biashara, uwekezaji katika sekta mbalimbali, viwanda, kilimo, uvuvi, usafirishaji na shughuli nyingine mbalimbali binafsi za waTanzania, zinafanyika katika utulivu na amani ya uhakika sana.
Ulinzi wa watu, mali zao na mipaka ya pande zote za nchi, ni wa uhakika na imara sana na hiki ndicho chanzo cha kudumu cha furaha na utangamano miongoni mwa Watanzania.
Asante sana Serikali ya awamu ya sita kwa hili, shukrani za kipekee sana kwa rais, Dr.Samia Suluhu Hassani. hakuna neno kwako juu ya amani ya Tanzania.
Kwa unyenyekevu mkubwa, hekima na busara, na bila mihemko, ghadhabu wala chuki...
Unarate uimara wa amani ya Tanzania katika kiwango gani kati ya 10% - 90% ya ufanisi wa kuichochea katika awamu hii ya sita?
Mungu Ibariki Tanzania.
watu hufariki dunia pia kwa mapenzi ya Mungu..Acha ufala.
Watu wanatekwa na wasiojulikana
Siku hizi nazidi kukupenda, hizi spana kwa hawa machawa zisipungue hata kidogo. Watu wanatekwa kila siku, yeye yupo busy kutetea maslahi yake ya buku sabaChawa mzoefu, naona unamalizia biashara usiku huu. Acha tukuungishe, ukapate buku 7 zako. Watoto waende toilet...
nchi yoyote inayoshiriki vita direct or indirect haina amani πTanzania ni sawa na bondia aliyepigana miaka kumi kwenye pambano akashinda so anachukulia refference ya miaka 10 iliopita ....
Nchi km ina ulinzi mzuri inapimwa kipindi cha vita
Angalia Israel ilipiga mataifa sita ya kiarabu lakini leo hamas inawatoa kamasi
Na chama cha kusifu na kuabudu mnapeana nini?wanachama wa mihemko mnapeana moyo sio π€£
kupima kiwango cha maadui itatagemea vita ulizopigana πHivi maadui wengi wa nchi na wanachi wanatoka nje ya mipaka kuliko walio ndani ya mipaka ?
Haya, kaa usubiri ujira wako mkuu.Amani Amani Amani ya waTanzania π
serikali itaendelea kukupa ulinzi na usalama wa uhakika unapofanya kazi na shughuli zako za kila siku mpaka ihakikishe umefanikiwa kimaisha na gubu, mihemko na ghadhabu zimeshuka chini na kutulia kabisa πChawa mzoefu, naona unamalizia biashara usiku huu. Acha tukuungishe, ukapate buku 7 zako. Watoto waende toilet...