ujira wa chama na serikali sikivu ya CCM ni kuhakikisha licha ya kwamba kuna mihemko ya hapa na pale lakini mnahemka katika mazingira yenye ulinzi wa uhakika na Amani ya kudumu πHaya, kaa usubiri ujira wako mkuu.
Siku wakikutanua kipenyo. Chako hiko utajua usalama wa kinyeo chakokuna nini ostaby na katavi gentleman?π
nazungumzia ulinzi, usalama na amani ya nchi nzima. dosari na kasoro ndogo ndogo ni kawaida tu π
nadhan muhimu kinachofanyika ni kuhakikisha kwamba mihemko na ghadhabu zako unazifanya ukiwa na amani,Siku wakikutanua kipenyo. Chako hiko utajua usalama wa kinyeo chako
Alafu we jamaa hivi unajiona hupo usalama hii nchi kupitia ccm.nadhan muhimu kinachofanyika ni kuhakikisha kwamba mihemko na ghadhabu zako unazifanya ukiwa na amani,
hata ukiwa unafanya mazoezi ya kuanza kuporomosha matusi lazma uwe kwenye mazingira ya aman, hilo ni muhimu zaidi π
wananchi na waTanzania katika umoja na mshikamano wao kwa ujumla, tupo salama sana tena kwa uhakika zaidi ya mahali pengine popote Africa Mashariki πAlafu we jamaa hivi unajiona hupo usalama hii nchi kupitia ccm.
Mifimifi tu π½π½π½Watanzania wanaishi kwa amani na utulivu sana, ukilinganisha na nchi nyingine yoyote Afrika Mashariki.
Shughuli za kiuchumi mathalani utalii, biashara, uwekezaji katika sekta mbalimbali, viwanda, kilimo, uvuvi, usafirishaji na shughuli nyingine mbalimbali binafsi za waTanzania, zinafanyika katika utulivu na amani ya uhakika sana.
Ulinzi wa watu, mali zao na mipaka ya pande zote za nchi, ni wa uhakika na imara sana na hiki ndicho chanzo cha kudumu cha furaha na utangamano miongoni mwa Watanzania.
Asante sana Serikali ya awamu ya sita kwa hili, shukrani za kipekee sana kwa rais, Dr.Samia Suluhu Hassani. hakuna neno kwako juu ya amani ya Tanzania.
Kwa unyenyekevu mkubwa, hekima na busara, na bila mihemko, ghadhabu wala chuki...
Unarate uimara wa amani ya Tanzania katika kiwango gani kati ya 10% - 90% ya ufanisi wa kuichochea katika awamu hii ya sita?
Mungu Ibariki Tanzania.
Mihemko ya nyoko.serikali sikivu ya CCM inahakikisha ,
hayo yote unayafanya katika ulinzi wa uhakika na amani ya kudumu, hata kama una mihemko π
Wangekuwa wanatekwa na majambazi wangekuwa wanapatikana.Acha ufala.
Watu wanatekwa na wasiojulikana
Wote hao watatu wapo Sana na Sasa wana wajukuu zao kina Uoga na unafiki.kupima kiwango cha maadui itatagemea vita ulizopigana π
mfano Tz tulikua na maadui wa3 wakati tukipata uhuru ambao ni,
umaskini , ujinga na maradhi...
tumevipiga vita hivi kwa uzuri sana na kuvishinda kwa kishindo sana, na ndio maana tunaweza kuzungumza kwa amani kitechnlologia kama hivi π