mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 630
- 2,151
Baada ya makolo fc "Ubuntu botho bin mbumbumbu" kupata sare katika mchezo wao wa Leo dhidi ya ihefu, hali ya sintofahamu imeibuka katika kambi ya timu hilo la mahayawani.
Hili limekuja baada ya kocha la makombe benchikha kugoma kurudi katika vyumba vya kubadilishia nguo baada ya mchezo, ambapo kamera zimemnasa akiwa amebaki peke yake uwanjani hali inayotafisirika ni yakutafakari ni kitu gani kilimshawishi aje kufundisha timu la hovyo kama simba sc.
Taarifa za ndani nazakuaminika zinadai kocha benchikha amechoshwa na viwango vibovu vya wachezaji mkweche wa timu hilo. Benchikha amesikika akisema hawezi kufundisha timu ambayo wachezaji wanakimbia kama wamejinyea "jobe". Upande mwingine wa taarifa yake umebainisha wasiwasi wake kuelekea mchezo wa dabi dhidi ya Yanga afrika, ambapo amesema wachezaji wake wengi stamina zao ni sawa na vijana wapiga punyeto toka mbagala, hivyo hawezi kuvumilia kuwa sehemu ya aibu itakayoikumba simba sc hiyo tarehe 20. Duru zinazidi kuabarisha kuwa chikha boy amepanga kutoroka nchini usiku wa Leo kwa kutumia usafiri wa ndege ya shirika la ndege la Turkish Airlines!!.
Kufuatia hayo, naiomba wizara ya mambo ya ndani kwa kushirikiana na wizara ya michezo na Tff, waweke zuio la kutoruhusu kocha la makombe benchikha"chikha boy" kutoroka nchini, huyu anapaswa kukamatwa na kutiwa kizuizini ili awaongoze makolo katika aibu yao ya tarehe 20. Hatutaki sababu za kijinga baada ya mchezo