Ulinzi uongezwe nchini huenda Kocha Benchikha wa Simba SC akatoroka nchini usiku huu

Ulinzi uongezwe nchini huenda Kocha Benchikha wa Simba SC akatoroka nchini usiku huu

Shida hachezeshi madogo kina kazi..chasambi...n.k hizo ndo mechi zao watoto wamekulia kwny viwanja vya majaruba...
😂 angewachezesha na akakosa matokeo bado mngelaumu kwanini kawachezesha, ila mnapitia kipindi kigumu kweli.
 
Mwarabu ana akili
Aliona pira alopigiwa Mamelod
Sasa akiwaza litakalomkuta na akina na Jobe ushuzi ni hatari tupu
 
Back
Top Bottom