Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Marais wa EAC na SADC wasicheke na Rwanda, Uganda na waasi...... chochote kinawezekana....ni aheri kuogopa nyasi kuliko kun'gatwa na nyoka.
Waasi wakitangaza kusitisha mapigano mara nyingi kuna jambo wanalipanga.
DRC na Burundi kuweni makini....mnaweza kuwa mkutanoni na PK mkiwa mnarudi nyumbani yanawakuta ya Nkurunzinza au Habyarimana na rafiki yake.